Kididimo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 3,791
- 3,360
1. Ni kati ya mikoa 4 iliyopunguza maambukizi ya ukimwi ; ni 2.6% (2017).
2. Ni Mkoa wa 3 kwa kuuza kwa wingi vitambulisho vya wajasiriamali (77.85% ya lengo 2019)
3. Ni Mkoa wa 1 kwa ufaulu kidato cha 4 mara mbili mfululizo( 2017 na 2018).
4. Ni Mkoa wa 2 Kitaifa kuwa na asilimia ndogo ya umasikini wa kaya (10.5% kwa 2017/ 2018) . Wa kwanza ukiwa ni DSM (8%).
Vigezo ni vingi, ila kwa hivi vichache, niishie hapo. Hongera sana mama yetu, umeonyesha mfano bora wa uongozi. Tulitamani uhamishiwe mkoani kwetu, nasi tufaidi uongozi wako.