RC Iringa: Mtoto huharibiwa na wazazi ndani ya siku 1000 baada ya kutungwa mimba

mwimbile

JF-Expert Member
Oct 8, 2016
211
225
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mh. Amina Masenza. Amesema kuwa ulezi na makuzi ya mtoto katika jamii, mtoto huharibiwa na wazazi siku 1000 tangu kutungwa mimba.

Ameyasema hayo alipokuwa anazindua klabu ya Kitivo cha Saikolojia mapema leo alipoalikwa kama mgeni rasmi katika chuo kikuu Iringa.
 
jaman kwa uandishi huu

sijaelewa hata moja

ni ule ulezi wa lishe au una zungumzia malezi!! mkuu
 
Tusihamaki sana. ALIKUWA ANAMTUMIA MZAZI MWENZIE TEXT, IKAPITIA HUKU.
 
Back
Top Bottom