chase amante
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 5,652
- 2,148
Kumbe,nilkua sijafahamu.ahsante mtoa maada. Kawa hawafanyi Nazi zao,wacha waisome nmba.DC piga kazi.madiwani wengi,wamejisahau.Ni baadhi ya maneno yaliyotamkwa na Mkuu wa Mkoa wa Iringa,mdogo wangu na Mwanasheria mwenzangu Ally Hapi. Alikuwa akielekea kutoa amri ya kukamatwa,kuwekwa ndani,kuhojiwa na kufikishwa mahakamani kwa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa na Diwani wa Viti Maalum huko Iringa kwa tiketi ya CHADEMA.
Kadiri ya clip ya video niliyoitazama kwa MillardAyo,kuna Mzee mmoja alilalamika kwa RC Hapi kuwa amebomolewa nyumba yake kwa amri ya Mwenyekiti na Diwani huyo wa CHADEMA. Mlalamikaji akajitambulisha kama Mwenyekiti wa Tawi la CCM.Mwanamama mhusika alijitetea bila mafanikio. Akakamatwa na askari wa kike wa JWTZ baada ya kukosekana kwa askari wa kike wa Polisi.
Kimsingi,maneno ya aina hiyo yamekuwa ya kawaida kwa Wakuu wa mikoa na wilaya nchini. Yana tija gani? Yaendelee?
Wangekuwaje mkuu?Kilio changu ni kwa madiwani wa kata hasa wa chadema huku kusini.ni wa vivu.km wakuu wa mikoa yote wangekua km hapi,ingekua saf san
[emoji1] [emoji1] swali zuriWangekuwaje mkuu?
labdaukiwakaburini sioohaiiWatayatamka sasa lakini kuna siku yatatamkwa na wengine yakiwalenga wao lakini watataka kuomba msamaha lakini watakuwa wamechelewa kwani adhabu ya Mungu hapa hapa duniani itakuwa imetimia na watakuwa bado wanatafakari na kufikiria pale watakapokufa nini hasa kitatokea kwao kama Mungu amewahukumu hapa Duniani kwa adhabu kubwa hivi je Baada ya kufa itakuwaje?
KweliHaihitaji kwa mwanamke kusema mimi ni mwanamke. mtu hatari hajinasibu watu watajudge kuwa ni mtu hatari. mengine ni mikwara tu.
True!Is very unfortunate wazee wa aina ya Jaji Samata walio tayari kusema, kukemea na kushauri juu ya tabia na maneno kama haya bila woga ni kama kwa sasa hawapo, natamani viongozi wakumbuke unaokua kwenye nafasi hizo na mamlaka hayo hata ukiongea jambo la kijinga bado watu watacheka na kukupigia makofi kila mtu kwa sababu yake ila siku nafasi na mamlaka yakiondolewa ndio wataelewa somo vizuri.
Hapo n kW Wahehe aangalie sana bwn mdogo huu,Asome vzuri histri ya Kleruu vs Mwamwindi,Tatizo la viongozi kuwa wao ndiyo mapolisi na mahakimu wakati huo huo. Hata rais huwa haagizi hivyo huwa anaagiza uchunguzi na hatua kuchukuliwa. Sasa una muweka mtu ndani baada ya kusikiliza malalamiko ya upande mmoja, je baadaye ikionekana uliye mweka ndani hana kosa utamfidiaje. Wakuu wa wilaya na mikoa wengi wamekuwa madikteta hawafuati sheria na taratibu kabisa
Hapa unawaonea hao wakuu wa mikoa na mwanzilishi wa wake unamjua na sio kama ameacha anajua athari zake na yeye amejitoa na msala amewaachia wateule na hizo sinema zina baraka zake 100% msikingie kifua kabisa.Tatizo la viongozi kuwa wao ndiyo mapolisi na mahakimu wakati huo huo. Hata rais huwa haagizi hivyo huwa anaagiza uchunguzi na hatua kuchukuliwa. Sasa una muweka mtu ndani baada ya kusikiliza malalamiko ya upande mmoja, je baadaye ikionekana uliye mweka ndani hana kosa utamfidiaje. Wakuu wa wilaya na mikoa wengi wamekuwa madikteta hawafuati sheria na taratibu kabisa
Ni baadhi ya maneno yaliyotamkwa na Mkuu wa Mkoa wa Iringa,mdogo wangu na Mwanasheria mwenzangu Ally Hapi. Alikuwa akielekea kutoa amri ya kukamatwa,kuwekwa ndani,kuhojiwa na kufikishwa mahakamani kwa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa na Diwani wa Viti Maalum huko Iringa kwa tiketi ya CHADEMA.
Kadiri ya clip ya video niliyoitazama kwa MillardAyo,kuna Mzee mmoja alilalamika kwa RC Hapi kuwa amebomolewa nyumba yake kwa amri ya Mwenyekiti na Diwani huyo wa CHADEMA. Mlalamikaji akajitambulisha kama Mwenyekiti wa Tawi la CCM.Mwanamama mhusika alijitetea bila mafanikio. Akakamatwa na askari wa kike wa JWTZ baada ya kukosekana kwa askari wa kike wa Polisi.
Kimsingi,maneno ya aina hiyo yamekuwa ya kawaida kwa Wakuu wa mikoa na wilaya nchini. Yana tija gani? Yaendelee?
Tatizo la viongozi kuwa wao ndiyo mapolisi na mahakimu wakati huo huo. Hata rais huwa haagizi hivyo huwa anaagiza uchunguzi na hatua kuchukuliwa. Sasa una muweka mtu ndani baada ya kusikiliza malalamiko ya upande mmoja, je baadaye ikionekana uliye mweka ndani hana kosa utamfidiaje. Wakuu wa wilaya na mikoa wengi wamekuwa madikteta hawafuati sheria na taratibu kabisa
Grade 4 inawatosha ninyi wabongo mkaanze kusoma nini maana ya yafuatayo
1) wewe ni nani?? Upo hapa duniani kwa dhumuni gani??
2) utu ni nini ??
3) haki zako za msingi na wajibu wako uwapo popote duniani
4) maana ya siasa na demokrasia ni nini?? nk
Ukishayajua haya utayajua mengi zaidi