Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 18,980
- 22,447
Ujenzi wa barabara na zahanati viende sambamba
Ni tatizo hili, geita inahitaji mkuu wa mkoa makini na mwenye upendo+ uchu wa maendeleo wa huo mkoa. kuna oppurtunity sana geita ila kutokana na kukosa strategies basi mkoa umebakia kufubaa..
ukiachana na chato, kwa kanda ya ziwa mji mdogo kama KATORO, unaweza kua the business and commercial town kwa kanda ya ziwa, kitu ambacho kitapelekea mji kukua kwa kasi ya ajabu. nashauri mkuu wa mkoa,mbunge na jopo la viongozi wa huo mkoa watumie uzalendo kupata strategis za maendeleo konki. Bila kusahau ikumbukwe soko letu la dhahabu liliko
ila kwa jinsi mkoa ulivyo saivi, ni dhahiri kua kuna uzembe mkubwa unafanyika, kwa mapato ya huo mkoa(internal) revenue inatosha sana kujenga na kuboresha miundombinu na kujenga mazingira ya uwekezaji.
ni mawazo yangu finyu tu!.
Sent using SMART KITOCHI
Tuko vizuriMsafara wa mkuu wa mkoa wa Geita umekwama kwa zaidi ya saa tano kutokana na sehemu ya barabara inayounganisha Geita vijijini na Geita mjini kusombwa na maji hali iliyomlazimu mkuu huyo na wataalamu wake kutembea kwa miguu zaidi ya kilometa nane kuungana na wananchi wa kijiji cha Bulangedi kuanzisha ujenzi wa zahanati .
Tunatekeleza
Source itv
View attachment 1454378
In God we Trust
Miaka yote hiyo Geita au mwanza au Chato inatawaliwa na wakuu wa mikoa ambao ni ccm na mawaziri na wabunge wa ccm. Nusu karne sasa. Wana nini kipya?? Total failuresNi tatizo hili, geita inahitaji mkuu wa mkoa makini na mwenye upendo+ uchu wa maendeleo wa huo mkoa. kuna oppurtunity sana geita ila kutokana na kukosa strategies basi mkoa umebakia kufubaa..
ukiachana na chato, kwa kanda ya ziwa mji mdogo kama KATORO, unaweza kua the business and commercial town kwa kanda ya ziwa, kitu ambacho kitapelekea mji kukua kwa kasi ya ajabu. nashauri mkuu wa mkoa,mbunge na jopo la viongozi wa huo mkoa watumie uzalendo kupata strategis za maendeleo konki. Bila kusahau ikumbukwe soko letu la dhahabu liliko
ila kwa jinsi mkoa ulivyo saivi, ni dhahiri kua kuna uzembe mkubwa unafanyika, kwa mapato ya huo mkoa(internal) revenue inatosha sana kujenga na kuboresha miundombinu na kujenga mazingira ya uwekezaji.
ni mawazo yangu finyu tu!.
Sent using SMART KITOCHI
asante kwa kunisoma mkuu ila pole kwa kuonesha ushabiki, comment yako inaashiria hvo mkuu, ndo mana nkasema kama wakipatikana wakipatikana viongozi wenye uzalendo na pia sio CCM au sio CHADEMA,... CHATO unayosemea ikumbukwe ipo geita, . Let us say kua mkuu wa mkoa angekua very brilliant kubuni namna ya kufanya maendeleo ya kimkoa mzima despite CHATO might still be the priority then aka develop na kuorganize developmental plan iliyo KONKI. akaamua kuuza hzo ideas kwa raisi kwa kutumia persuassion skills zote, akaelezea kwa kinaganaga nna uhakika magufuli would have bought the ideas and the plan ...kwa sasa hivi Chato ndiyo priority.
..nyinyi vumilieni kwanza mpaka chato wale washibe ndiyo na nyinyi mtafikiriwa.

asante ila nmelaumu katika level yao ya ukosefu wa maarifa, sijalaumu chama kwasababu hao wenyew ndio chama, ikumbukwe tatizo sio CCM tatizo ni wana CCM. nakubali kua they are very corrupt na ni wengi sana wanaiangalia GEITa hata wao wanaipigania ndani kwa ndani japo ni chinichini.Miaka yote hiyo Geita au mwanza au Chato inatawaliwa na wakuu wa mikoa ambao ni ccm na mawaziri na wabunge wa ccm. Nusu karne sasa. Wana nini kipya?? Total failures
..kwa sasa hivi Chato ndiyo priority.
..nyinyi vumilieni kwanza mpaka chato wale washibe ndiyo na nyinyi mtafikiriwa.
Ndiyo maana nikiona mada zako huwa hata sihangaiki nazo maana ukilaza wako umezidi kipimo. Inawezekana wewe umekulia kwenye maisha magumu sana na mpaka sasa bado hujajikomboa.Mbona barabara nzuri mno hiyo upande wa kushoto inapitika mwaka mzima upande wa kulia ni mto wa msimu ambao huwa hauathiri barabara nzuri iliyo upande wa kushoto
Ni tatizo hili, geita inahitaji mkuu wa mkoa makini na mwenye upendo+ uchu wa maendeleo wa huo mkoa. kuna oppurtunity sana geita ila kutokana na kukosa strategies basi mkoa umebakia kufubaa..
ukiachana na chato, kwa kanda ya ziwa mji mdogo kama KATORO, unaweza kua the business and commercial town kwa kanda ya ziwa, kitu ambacho kitapelekea mji kukua kwa kasi ya ajabu. nashauri mkuu wa mkoa,mbunge na jopo la viongozi wa huo mkoa watumie uzalendo kupata strategis za maendeleo konki. Bila kusahau ikumbukwe soko letu la dhahabu liliko
ila kwa jinsi mkoa ulivyo saivi, ni dhahiri kua kuna uzembe mkubwa unafanyika, kwa mapato ya huo mkoa(internal) revenue inatosha sana kujenga na kuboresha miundombinu na kujenga mazingira ya uwekezaji.
ni mawazo yangu finyu tu!.
Sent using SMART KITOCHI
Amekuelewa lakini?Na wewe Ni kibomboo tu