Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,266
- 98,312
Msafara wa mkuu wa mkoa wa Geita umekwama kwa zaidi ya saa tano kutokana na sehemu ya barabara inayounganisha Geita vijijini na Geita mjini kusombwa na maji hali iliyomlazimu mkuu huyo na wataalamu wake kutembea kwa miguu zaidi ya kilometa nane kuungana na wananchi wa kijiji cha Bulangedi kuanzisha ujenzi wa zahanati .
Tunatekeleza
Source itv
In God we Trust
Tunatekeleza
Source itv
In God we Trust