Weka original tuone tofauti.video ya kutengeneza hiyo sio original
Mbona hii video imeandikwa tarehe 09/01/2008Sikiliza hii kitu.
Sasa 2008 Gambo alikuwepo? Mollel alikuwepo. Camera haikuwa updated ! Changanua ubongo!Mbona hiyo video ni kama ya 2008 au macho yangu yana kijani sana?!!
huyo mwehu usijibizane nae hana akili.Katengeneza na wewe unaleta hoja nyepesi kwa vitu muhimu ?
Mbona hii video imeandikwa tarehe 09/01/2008
gambo alikuwa RC mwaka 2008? sikiliza kwanza hiyo video usiwe kama mtu aloshikwa na tumbo la kuharaMbona hii video imeandikwa tarehe 09/01/2008
Sorry kwa kuulizaSasa 2008 Gambo alikuwepo? Mollel alikuwepo. Camera haikuwa updated ! Changanua ubongo!
Mnafiki tu.Halafu huyu anadanganya umma wa Watanzania eti anainyoosha nchi! Kumbe yuko busy kusambaratisha upinzani kwa kutumia ajira za Serikalini ambazo zinatokana na kodi ya walipa kodi nchini.
Msikilizeni huyu mnafiki hapa.
Dah!!!kweli maneno ya mtu mzima yanaishi...kinachotokea ni hiko hiko kinachosemwa humu na watu sio wabunge sio mawaziri wote wanamgwaya huyu jamaa.Shukrani sana Mkuu.
Unafiki unafiki video ya 2008, acheni unazi. Yaani mnatengeneza videoSikiliza hii kitu.
aMbona hiyo video ni kama ya 2008 au macho yangu yana kijani sana?!!
Hata kama ukipofu harufu ya mavi huipati puani mwako mkuu!?Mbona hiyo video ni kama ya 2008 au macho yangu yana kijani sana?!!
Mkuu usipanic nimeuliza tu hiyo 2008 kwenye hiyo video inamaanisha nini?!!lTarehe ya camera kwani Gambo kachoma shule 2008? Na 2008 Mnyeti alikuwa DC? Hao madiwani walikuwa washajiuzulu?
a
Kwahiyo hiyo 2008 haina umuhimu wowote kwenye hiyo video?!!!Hata kama ukipofu harufu ya mavi huipati puani mwako mkuu!?
Acha kuspin basi.
Mchawi keshashikwa.