RC Gambo ameivua nguo serikali na mamlaka iliyomteua

RC Gambo ameivua nguo serikali na mamlaka iliyomteua

na ndiyomaana Mecky Sadiki ameacha kazi amechoka kulazimishwa kufanya maamuzi ya kijinga kama haya ya kina Gambo

Mtatumika na michadema iyo kwa kununuliwa smart phone tu wenzenu tunapewa na kaz ndio atuko masaa yote poleni sana tutazid kuwamega dada zenu maana pesa tunayo
 
Changamoto kubwa tunayoikabili wakati huu ni watoa maoni juu ya jambo linalowahusu wanasiasa wa upande wao kutetea bila kutumia utashi wa kibinadamu. Watu wengi wanafanya kama vile mbwa wanavyowapigania wenye nao.
 
Hii si awamu kubembelezana,kubebana wala kuchekeana kwa kisingizio cha siasa na democracia kuhusu watu wa Mkoa wa Wilaya Fulani.

Kila mmoja afuate sheria na taratibu zilizowekes
 
Hakuna chochote kilichofanywa na RC Gambo cha kuivua nguo Serikali. Serikali is bigger than that.

Kimsingi alichokifanya RC Gambo hakikuzoeleka kwa wanasiasa "opportunists" wengine ambao kutoa neno misiba kwao ni agenda.

Tunahitaji RCs ambao wako Genuine kama Gambo.
Kama akili zenyewe ulizona ndo hizi za Gambo...NAIHURUMIA FAMILIA YAKO KWA KUKOSA BABA BORA!
 
Geita imetokea 'fursa' ya kukusanya rambi rambi... R.I.P wanafunzi watatu waliopoteza maisha baada ya mtumbwi kupata kashkashi.
 
Mtatumika na michadema iyo kwa kununuliwa smart phone tu wenzenu tunapewa na kaz ndio atuko masaa yote poleni sana tutazid kuwamega dada zenu maana pesa tunayo

huu ubashite peleka huko-huko fisiemu.
 
Wakati mwingine mapenzi ya jambo au kitu fulani huwa hayaoni kabisa mf unaambiwa mtu au kikundi fulani wanachanganya siasa ktk misiba hutakubali kwa kuwa Tayari unamapenzi na mtu au kundi fulani lakini hata kwa akili ya kushikiwa tu kwanini unakwenda kutoka rambi rambi ubebe na waandishi na sehemu kubwa ya viongozi kutoka kundi fulani inamaana hawakuridhika siku ya kuagwa miili yavwapendwa wetu walipowakilishwa na Mwenyekit wao? jariibuni kujiongeza .
Wewe kwa akili yako ndogo unajiona hapo umeandika point lakin nikuhakikishie huu ulio andika ni upuuzi na ujinga na umeonesha kwa kiasi gani huna hata elimu ndogo, waandish wa habari hata usipo waita watakuja labda uwafukuze ,

lile sio tukio la siri na linaihusu jamii na waandishi wakiwepo ndani yake , au mmezoea mambo ya wiziwizi hivyo mnadhan kila kitu ni siri? , mbona mnakuwa wabinafsi!! Kuna matukio mangapi makada wa ccm wanafanya tena yakipuuzi kabisa lakin wanahitaji coverage ya vyombo vya habar tena wakati mwingine kwa kuwanunua ,?? Ila wakifanya upinzani siasa!!?nawachukia sana watu wanao jijali wao na kujiona wao wako sahihi ila wakifanya wengine wamekosea , huu ni utumwa wa akili na ushamba mkubwa na ubinafsi wa kutupwa lakin yote hayo yapo ndani ya ujinga na kukosa elimu
 
Wakati mwingine mapenzi ya jambo au kitu fulani huwa hayaoni kabisa mf unaambiwa mtu au kikundi fulani wanachanganya siasa ktk misiba hutakubali kwa kuwa Tayari unamapenzi na mtu au kundi fulani lakini hata kwa akili ya kushikiwa tu kwanini unakwenda kutoka rambi rambi ubebe na waandishi na sehemu kubwa ya viongozi kutoka kundi fulani inamaana hawakuridhika siku ya kuagwa miili yavwapendwa wetu walipowakilishwa na Mwenyekit wao? jariibuni kujiongeza .
mi sijui sana ...lkn sisi ni waafrika tunapendana kupeana pole baada ya kuaga au mazishi ni jambo la kawaida.....
 
Wakati mwingine mapenzi ya jambo au kitu fulani huwa hayaoni kabisa mf unaambiwa mtu au kikundi fulani wanachanganya siasa ktk misiba hutakubali kwa kuwa Tayari unamapenzi na mtu au kundi fulani lakini hata kwa akili ya kushikiwa tu kwanini unakwenda kutoka rambi rambi ubebe na waandishi na sehemu kubwa ya viongozi kutoka kundi fulani inamaana hawakuridhika siku ya kuagwa miili yavwapendwa wetu walipowakilishwa na Mwenyekit wao? jariibuni kujiongeza .
kwa hiyo nikiwaalika waandishi wa habari kwenye msiba imekuwa suala la kisiasa?? mbona kwenye msiba wa ndugu yake kikwete walikuwepo? au misiba ya familia za watawala ndiyo pekee yenye haki ya kuwa na waandishi wa habari? mene mene tekeli na peresi
 
kwa niliyoyaona kwenye whatsapp group ya UVCCM Arusha ni wazi Gambo amekua mzigo kwa CCM mkoa na wanaccm wameweka wazi kuwa Gambo anaihujumu CCM Arusha kwa kuendekeza siasa za chuki.
 
Back
Top Bottom