RC Gambo afiwa na dada yake

RC Gambo afiwa na dada yake

MASIGA

Senior Member
Joined
Aug 29, 2015
Posts
130
Reaction score
281
Kwa masikitiko makubwa natangaza kifo Cha Dada yangu mpendwa Bi Mwajuma Gambo (akitoka yeye ni mimi) kilichotokea Jana tarehe 04/10/2018 kwenye Hospital ya Taifa Muhimbili Dar Es Salaam.

Mazishi yatakuwa siku ya Jumamosi tarehe 06/10/2018 Saa 6 Mchana kwenye makaburi ya MCHIKICHINI Ilala Dar Es Salaam.

Msiba upo nyumbani Kariakoo mtaa wa Mheza Karibu na Shule ya Sekondari ya Benjamini Mkapa. Mwaka huu tumepata mtihani mwingine baada ya kumpoteza tena mama yetu mzazi. Kazi ya Mungu haina Makosa!

Mwenyezi Mungu amjalie dada yetu kauli thabiti kaburini.

FB_IMG_1538723105125.jpeg
 
Pole sana RC Gambo na family nzima.

Mungu amuweke mahala anapostahili
 
Juzijuzi tu mama yake na leo dada yake, only Allah decides who and when to die. INNA LILLAHI WA INNA ILAYHI RAJIUUNA.
 
Haya ndio yale machozi ya rambirambi?
Duh! Umewaza mbali Sana ndugu, akisoma atatafakari, na labda atajifunza na kuyaona yote aliyofanya kipindi kile Ni ubatili. Natamani Rambirambi atakazopokea kwa kifo Cha dada azipeleke mount meru pia! Mungu amtie nguvu, amfunue akili Yake, atambue walijisikiaje wengine walipokuwa katika hali Kama yake!
 
Kwa masikitiko makubwa natangaza kifo Cha Dada yangu mpendwa Bi Mwajuma Gambo (akitoka yeye ni mimi) kilichotokea Jana tarehe 04/10/2018 kwenye Hospital ya Taifa Muhimbili Dar Es Salaam.

Mazishi yatakuwa siku ya Jumamosi tarehe 06/10/2018 Saa 6 Mchana kwenye makaburi ya MCHIKICHINI Ilala Dar Es Salaam.

Msiba upo nyumbani Kariakoo mtaa wa Mheza Karibu na Shule ya Sekondari ya Benjamini Mkapa. Mwaka huu tumepata mtihani mwingine baada ya kumpoteza tena mama yetu mzazi. Kazi ya Mungu haina Makosa!

Mwenyezi Mungu amjalie dada yetu kauli thabiti kaburini.

View attachment 887247
Poleni kwani masiga ndo wewe rc gambo?
 
N
Duh! Umewaza mbali Sana ndugu, akisoma atatafakari, na labda atajifunza na kuyaona yote aliyofanya kipindi kile Ni ubatili. Natamani Rambirambi atakazopokea kwa kifo Cha dada azipeleke mount meru pia! Mungu amtie nguvu, amfunue akili Yake, atambue walijisikiaje wengine walipokuwa katika hali Kama yake!
Naunga mkono hoja,rambirambi za msiba huu zikajenge kipande cha barabara ya matejoo!!
 
Duh! Umewaza mbali Sana ndugu, akisoma atatafakari, na labda atajifunza na kuyaona yote aliyofanya kipindi kile Ni ubatili. Natamani Rambirambi atakazopokea kwa kifo Cha dada azipeleke mount meru pia! Mungu amtie nguvu, amfunue akili Yake, atambue walijisikiaje wengine walipokuwa katika hali Kama yake!
Wahenga wanasema malipo ni hapa hapa Duniani,ahera kuhesabiwa tuu. Ilifika kipindi akajiona yeye ni mungu mtu hakuna lolote litakalomsumbua sio kifo wala magonjwa. Ni kipindi chake sasa cha kukaa chini na kutafakari na kutubu uovu wake wote aliowafanyia wenzake iwe kwa utashi wake au kwa maelekezo. Pole yake sana.
 
Kwa masikitiko makubwa natangaza kifo Cha Dada yangu mpendwa Bi Mwajuma Gambo (akitoka yeye ni mimi) kilichotokea Jana tarehe 04/10/2018 kwenye Hospital ya Taifa Muhimbili Dar Es Salaam.

Mazishi yatakuwa siku ya Jumamosi tarehe 06/10/2018 Saa 6 Mchana kwenye makaburi ya MCHIKICHINI Ilala Dar Es Salaam.

Msiba upo nyumbani Kariakoo mtaa wa Mheza Karibu na Shule ya Sekondari ya Benjamini Mkapa. Mwaka huu tumepata mtihani mwingine baada ya kumpoteza tena mama yetu mzazi. Kazi ya Mungu haina Makosa!

Mwenyezi Mungu amjalie dada yetu kauli thabiti kaburini.

View attachment 887247
Pole sana Mkuu Gambo.
Kifo ni kibaya lakini kinakumbusha mengi ya mwanadamu kujifunza. Mateso siyo vema kuyatengeza kwa usiowapenda maana hata wewe yanaweza kuwa sehemu yako hata kama hupendi kabisa. Haki na usawa ni muhimu kwa watu wote kama ilivyo kifo kwa wote.
Lala salama kaburini dada wa kiongozi.
 
Kwa masikitiko makubwa natangaza kifo Cha Dada yangu mpendwa Bi Mwajuma Gambo (akitoka yeye ni mimi) kilichotokea Jana tarehe 04/10/2018 kwenye Hospital ya Taifa Muhimbili Dar Es Salaam.

Mazishi yatakuwa siku ya Jumamosi tarehe 06/10/2018 Saa 6 Mchana kwenye makaburi ya MCHIKICHINI Ilala Dar Es Salaam.

Msiba upo nyumbani Kariakoo mtaa wa Mheza Karibu na Shule ya Sekondari ya Benjamini Mkapa. Mwaka huu tumepata mtihani mwingine baada ya kumpoteza tena mama yetu mzazi. Kazi ya Mungu haina Makosa!

Mwenyezi Mungu amjalie dada yetu kauli thabiti kaburini.

View attachment 887247
Mheza, Muheza ingependeza zaidi.
 
Back
Top Bottom