pole dogo Gambo. ni njia yetu sote hiyo.
haichagui nani atangulie nani afuate.
kuna watu walitaka kumtanguliza ndugu Lissu. usijeshangaa kuona wanatangulia wao na/au ndugu zao. Mungu si Mrisho wala Daudi wala John.
Kuna sehemu hapo ukiweka herufi ya R tu kosa la mtandao.Anyway R.I.P sister wake Gambo
Pole Gambo,,Kwa masikitiko makubwa natangaza kifo Cha Dada yangu mpendwa Bi Mwajuma Gambo (akitoka yeye ni mimi) kilichotokea Jana tarehe 04/10/2018 kwenye Hospital ya Taifa Muhimbili Dar Es Salaam.
Mazishi yatakuwa siku ya Jumamosi tarehe 06/10/2018 Saa 6 Mchana kwenye makaburi ya MCHIKICHINI Ilala Dar Es Salaam.
Msiba upo nyumbani Kariakoo mtaa wa Mheza Karibu na Shule ya Sekondari ya Benjamini Mkapa. Mwaka huu tumepata mtihani mwingine baada ya kumpoteza tena mama yetu mzazi. Kazi ya Mungu haina Makosa!
Mwenyezi Mungu amjalie dada yetu kauli thabiti kaburini.
View attachment 887247
Mimi pole yangu aitoki kwa midudu ya kaliba kama yake.Kumbe na hawa wenye madaraka wanafiwa, nilidhani hayo ni ya kwetu tusiokuwa CCM! All in all RIP!
Kwa masikitiko makubwa natangaza kifo Cha Dada yangu mpendwa Bi Mwajuma Gambo (akitoka yeye ni mimi) kilichotokea Jana tarehe 04/10/2018 kwenye Hospital ya Taifa Muhimbili Dar Es Salaam.
Una maanisha akitubu hatofiwa tena au?Wahenga wanasema malipo ni hapa hapa Duniani,ahera kuhesabiwa tuu. Ilifika kipindi akajiona yeye ni mungu mtu hakuna lolote litakalomsumbua sio kifo wala magonjwa. Ni kipindi chake sasa cha kukaa chini na kutafakari na kutubu uovu wake wote aliowafanyia wenzake iwe kwa utashi wake au kwa maelekezo. Pole yake sana.