M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,201
- 23,030
pole dogo Gambo. ni njia yetu sote hiyo.Kwa masikitiko makubwa natangaza kifo Cha Dada yangu mpendwa Bi Mwajuma Gambo (akitoka yeye ni mimi) kilichotokea Jana tarehe 04/10/2018 kwenye Hospital ya Taifa Muhimbili Dar Es Salaam.
Mazishi yatakuwa siku ya Jumamosi tarehe 06/10/2018 Saa 6 Mchana kwenye makaburi ya MCHIKICHINI Ilala Dar Es Salaam.
Msiba upo nyumbani Kariakoo mtaa wa Mheza Karibu na Shule ya Sekondari ya Benjamini Mkapa. Mwaka huu tumepata mtihani mwingine baada ya kumpoteza tena mama yetu mzazi. Kazi ya Mungu haina Makosa!
Mwenyezi Mungu amjalie dada yetu kauli thabiti kaburini.
View attachment 887247
haichagui nani atangulie nani afuate.
kuna watu walitaka kumtanguliza ndugu Lissu. usijeshangaa kuona wanatangulia wao na/au ndugu zao. Mungu si Mrisho wala Daudi wala John.