RC Dodoma aachie ngazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

RC Dodoma aachie ngazi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Msenshe, Dec 24, 2010.

 1. M

  Msenshe Member

  #1
  Dec 24, 2010
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dk.msekela amechemsha kwa kusimama mbele na kutangaza kuwa maandamano ya wanachuo ni haramu. Hivi rc anayetakiwa kuwa neutral anapokuwa na upande watu wakimbilie wapi?? Amejiaibisha kwa kuingilia kazi ya polisi au ndo anatafuta kuendelea na ulaji??
   
Loading...