Mkuu wee una undugu na Maliyamungu?RC mwenye kujituma na Mvumbuzi kwelikweli
Pongezi kwako kaka
Mkuu wee una undugu na Maliyamungu?RC mwenye kujituma na Mvumbuzi kwelikweli
Pongezi kwako kaka
wana lumumba bana hivi tangu lini ccm iliwahi kamata mafisadi haiwezi sababu ufisadi mwingi sana unafanywa na ccm na mafisadi woote chimbuko lao ni ccm mahaama ya ufisadi saa hizi nahisi wanafugia kitimotoWatetea mafisadi chadema, ni matumbo joto
Mnaaminishwa kila kitu kama hamtumii zenu vile!.mmeamua kuzuga baada ya mpango wenu wa nairobi kuumbuliwa eeh...
Gari zote za serikali ziko chini ya kitengo kimoja tu, wizara ni watumiaji tu.Msaada,kiutaratibu,anaomba mwenye mali, kama ni mkataba wa kukarabati magari basi unasainiwa na mwenye Mali(wizara ya mambo ya ndani/IGP na anayekarabati magari,inafahamika kwamba mwisho wa siku kuna legal implications kwa lolote baya litakalotokea hata kama amekarabati kwa msaada
Mkuu wa mkoa hawezi kusaini mkataba huo kwa kuwa si mmiliki wa mali, katibu utawala mkoa hawezi kusaini kwa kuwa si mmiliki,
Na hata kama ni msaada,mkuu wa mkoa anawasilisha proposal ya msaada huo ofisi ya mkuu wake(Tamisemi)wanamwarifu waziri mkuu,waziri mkuu anatoa maelekezo kwa wizara husika,ni msaada kwa serikali,ownership ya msaada huo,ukishaingia katika mchakato wa kiserikali ili uwe vetted,ukipitishwa basi unakuwa msaada kwa serikali,na kwa maana hiyo,ni msaada kwa wizara ya mambo ya ndani ambayo kimajukumi ndio mmiliki wa mali za jeshi la polisi,
Registry ya magari ya polisi yote Tanzania,pamoja na mahali pengine,iko wizara ya mambo ya ndani chini ya katibu mkuu na IGP
Ndio maana bungeni kama jeshi la polisi lina upungufu wa magari au magari mabovu sehemu fulani,maswali huelekezwa kwa waziri wa mambo ya ndani,sio waziri wa tamisemi
Acha Uongo wewe. Za JWTZ ni za Serikali pia. Kwahiyo ziko pamoja na za Halmashauri?Gari zote za serikali ziko chini ya kitengo kimoja tu, wizara ni watumiaji tu.
Mh nashukuru sana umemaliza kila kitu.Ni mwenyekiti tu! Lakini unajua kwamba hata mali za ofisi ya mkuu wa mkoa haziko chini yake bali ziko chini ya katibu tawala wa mkoa?
Unajua ndani ya kamati ya ulinzi na usalama kuna jeshi la wananchi,jwtz,lina magari na mali mbalimbali,unadhani huyo mwenyekiti anaweza kuchukua magari ya jeshi na kuyafanya anavyotaka bila ruksa ya wizara ya ulinzi na mkuu wa majeshi?
Ndani ya kamati ya ulinzi na usalama mkoa kuna idara ya usalama wa taifa,iko chini ya ofisi ya rais,utawala bora
Kuna Uhamiaji,iko Wizara ya mambo ya ndani
Yeye ana coordinate tu na kuunganisha lakini hakuna lolote analofanya kwa kuwa commanding ya idara hizo iko kisheria,
Hata Mali hizo zikiharibika,mfano za jeshi la polisi,la wananchi,usalama wa taifa,Uhamiaji,watu hao wanawajibika kwenye ofisi zilizowaajiri,kwenye ofisi zinazomiliki Mali na si ofisi ya mkuu wa mkoa
Mkuu wa mkoa hana mamlaka ya kumfukuza kazi hata dereva wake au mfagia ofisi
Mali aliyoingia nayo ni kale ka ilani ka ccm tu!
Gari zote za serikali ziko chini ya kitengo kimoja tu, wizara ni watumiaji tu.
Simfahamu ndio nani?Mkuu wee una undugu na Maliyamungu?
Wewe hojayao ipi hapomzee7 post: 24085775 said:Anasema hela zilizotumika kukarabati magari ya polisi si za serikali, je ni za nani? na je kwanini hawajatangazwa? Na je udhibiti wa pesa hizo zinadhibitiwa na idara gani? ikiwa yeye mwenyewe mkuu wa mkoa je kuna pesa ngapi anapewa kinyemela ambazo anazifahamu mwenyewe tu!