RC Dar Afanyiwa Maombezi

nimeona mpasuko lakini
 
HEKIMA YA KI UNGU IWE JUU YAKE....semeni ameen ...semeni ameeeennnnnn
 
wewe mke wake nini unatafuta ushahidi.


swissme
Aah mkuu kusoma huweZi hata picha huoni? Mi ni me.
Pana fursa hapo unapiga mkwanja kwa mke na kwa mkuu mwenyewe acha nikamilishe kuwajua
 
Alaaa...... Kumbe naye ni muumini wa huko kwa wapendwa....
 
Ni jambo jema kumkabidhi Mungu majukumu yako ili akuongoze vyema!

Ana nafasi ya kuwabeba vijana na kumpa Rais motisha ya kuwaamini zaidi vijana.

Atubu kwa ya nyuma, na aanze upya.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…