Mkuu naomba unikumbushe ivi matokeo ya Urais yanatangazwa siku hiyo hiyo jumatano au mpaka siku ya pilihuyu naye ni RC au comedian RC?
Jaribu uone utakavyonyooshwaSasa hivi hatuhangaiki na kuharibu mali za umma. Tunalocate nyumbani kwake tunadeal naye pamoja na familia yake. Hawa watu hawawezi kutualibia nchi kizembe zembe ivyo asee.
Wewe unaonaje?huyu naye ni RC au comedian RC?
Matangazo ya vituo yataanza kurushwa kidogo kidgo kila siku kadri vituo vinapomaliza kuhesabu. baada ya hapo kunakuwa na majumuisho. so itategemea kasi ya kuhesabuMkuu naomba unikumbushe ivi matokeo ya Urais yanatangazwa siku hiyo hiyo jumatano au mpaka siku ya pili
Ok shukranimatangazo ya vituo yataanza kurushwa kidogo kidgo kila siku kadri vituo vinapomaliza kuhesabu. baada ya hapo kunakuwa na majumuisho. so itategemea kasi ya kuhesabu
Nchi inaongozwa na viongozi wa ovyo sijawahi kuonaa.. wanataka kusifiwa tuu and that is why we need to change the structure of governance in this country where all the positions from the grassroots level to the regional levels are elective and not appointive positions so that the loyalty is people centric and the people have the political mandate to elect and dismiss and not this kind of madness and stupidity running around.huyu naye ni RC au comedian RC?
Ni vyema hawa MaRC na DC wasiingilie kazi za wakurugenzi maana wao sio wafanyakazi wa tume ili kuepusha sintofahamu.
Huyu mlevi anazungumza nini23 October 2020
Mbeya, Tanzania
RC Albert Chalamila asema jana niliwaona watu ofisi ya Mkurugenzi lakini nilikuwa nawahesabia masaa akina mama wale kabla ya kushughulikiwa kwa hatua kali ambazo wasingesahau.
Kuhusu kusimamia mchakato wa uchaguzi RC Albert Chalamila amesema uongozi wa mkoa umejipanga kuhakikisha uchaguzi wa 2020 unakuwa wa Haki na Huru.
Amewatoa wasiwasi wananchi wa mkoa wa Mbeya na jijini la Mbeya ipo shwari kabisa katika mitaa, kata, Halmashauri na wapiga kura wajitokeze kwa wingi kutimiza haki yao ya kikatiba amemalizia mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila alipokuwa anaongea wa vyombo vya habari.
Mkuu ni-PM tushee mawili matatuMatangazo ya vituo yataanza kurushwa kidogo kidgo kila siku kadri vituo vinapomaliza kuhesabu. baada ya hapo kunakuwa na majumuisho. so itategemea kasi ya kuhesabu
Nimeandika hivi 'hao MaRC na DC wasiingilie kazi za wakurugenzi' huko kudhibiti fujo sijaandika maana hizo sio kazi za wakurugenzi.Kudhibiti waleta fujo na wavunjifu wa amani wakati wa uchaguzi ni jukumu la dola sio tume ya Uchaguzi, msijisahaulishe hilo
Ukiingia ofisi ya Tume ya Uchaguzi au ya Mkurugenzi wa Uchaguzi na kuleta Rabsha basi hapo Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa hatosubiri wito au ruhusa ya Tume kudhibiti rabsha hizo
Nimeandika hivi 'hao MaRC na DC wasiingilie kazi za wakurugenzi' huko kudhibiti fujo sijaandika maana hizo sio kazi za wakurugenzi.
Kazi za wakurugenzi wakati wa uchaguzi zinaeleweka hivyo hao maRC na DC hawapaswi kuingilia.
23 October 2020
Mbeya, Tanzania
RC Albert Chalamila asema jana niliwaona watu ofisi ya Mkurugenzi lakini nilikuwa nawahesabia masaa akina mama wale kabla ya kushughulikiwa kwa hatua kali ambazo wasingesahau.
Kuhusu kusimamia mchakato wa uchaguzi RC Albert Chalamila amesema uongozi wa mkoa umejipanga kuhakikisha uchaguzi wa 2020 unakuwa wa Haki na Huru.
Amewatoa wasiwasi wananchi wa mkoa wa Mbeya na jijini la Mbeya ipo shwari kabisa katika mitaa, kata, Halmashauri na wapiga kura wajitokeze kwa wingi kutimiza haki yao ya kikatiba amemalizia mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila alipokuwa anaongea wa vyombo vya habari.
Ubabe mwisho 28 vyeo cha ukuu wa mikoa vinafutwanawahesabia masaa akina mama wale kabla ya kushughulikiwa kwa hatua kali ambazo wasingesahau.