Uchaguzi 2020 RC Chalamila: Nilikuwa nahesabu masaa tu kwa walioni-beep. Kwenye hizi chaguzi mtu asidhani 'atani-beep' alafu niache 'kumpigia'

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,031
23,818
23 October 2020
Mbeya, Tanzania

RC Albert Chalamila asema jana niliwaona watu ofisi ya Mkurugenzi lakini nilikuwa nawahesabia masaa akina mama wale kabla ya kushughulikiwa kwa hatua kali ambazo wasingesahau.

Kuhusu kusimamia mchakato wa uchaguzi RC Albert Chalamila amesema uongozi wa mkoa umejipanga kuhakikisha uchaguzi wa 2020 unakuwa wa Haki na Huru.

Amewatoa wasiwasi wananchi wa mkoa wa Mbeya na jijini la Mbeya ipo shwari kabisa katika mitaa, kata, Halmashauri na wapiga kura wajitokeze kwa wingi kutimiza haki yao ya kikatiba amemalizia mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila alipokuwa anaongea wa vyombo vya habari.

"Mleta fujo akijeruhiwa ni haki yake"
by Chalamila (Mkuu wa mkoa Mbeya)
Tunaweka kumbukumbu sawa
 
Mkuu naomba unikumbushe ivi matokeo ya Urais yanatangazwa siku hiyo hiyo jumatano au mpaka siku ya pili
Matangazo ya vituo yataanza kurushwa kidogo kidgo kila siku kadri vituo vinapomaliza kuhesabu. baada ya hapo kunakuwa na majumuisho. so itategemea kasi ya kuhesabu
 
huyu naye ni RC au comedian RC?
Nchi inaongozwa na viongozi wa ovyo sijawahi kuonaa.. wanataka kusifiwa tuu and that is why we need to change the structure of governance in this country where all the positions from the grassroots level to the regional levels are elective and not appointive positions so that the loyalty is people centric and the people have the political mandate to elect and dismiss and not this kind of madness and stupidity running around.
 
Kudhibiti waleta fujo na wavunjifu wa amani wakati wa uchaguzi ni jukumu la dola sio tume ya Uchaguzi, msijisahaulishe hilo

Ukiingia ofisi ya Tume ya Uchaguzi au ya Mkurugenzi wa Uchaguzi na kuleta Rabsha basi hapo Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa hatosubiri wito au ruhusa ya Tume kudhibiti rabsha hizo
Ni vyema hawa MaRC na DC wasiingilie kazi za wakurugenzi maana wao sio wafanyakazi wa tume ili kuepusha sintofahamu.
 
23 October 2020
Mbeya, Tanzania

RC Albert Chalamila asema jana niliwaona watu ofisi ya Mkurugenzi lakini nilikuwa nawahesabia masaa akina mama wale kabla ya kushughulikiwa kwa hatua kali ambazo wasingesahau.

Kuhusu kusimamia mchakato wa uchaguzi RC Albert Chalamila amesema uongozi wa mkoa umejipanga kuhakikisha uchaguzi wa 2020 unakuwa wa Haki na Huru.

Amewatoa wasiwasi wananchi wa mkoa wa Mbeya na jijini la Mbeya ipo shwari kabisa katika mitaa, kata, Halmashauri na wapiga kura wajitokeze kwa wingi kutimiza haki yao ya kikatiba amemalizia mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila alipokuwa anaongea wa vyombo vya habari.

Huyu mlevi anazungumza nini
 
Kudhibiti waleta fujo na wavunjifu wa amani wakati wa uchaguzi ni jukumu la dola sio tume ya Uchaguzi, msijisahaulishe hilo

Ukiingia ofisi ya Tume ya Uchaguzi au ya Mkurugenzi wa Uchaguzi na kuleta Rabsha basi hapo Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa hatosubiri wito au ruhusa ya Tume kudhibiti rabsha hizo
Nimeandika hivi 'hao MaRC na DC wasiingilie kazi za wakurugenzi' huko kudhibiti fujo sijaandika maana hizo sio kazi za wakurugenzi.

Kazi za wakurugenzi wakati wa uchaguzi zinaeleweka hivyo hao maRC na DC hawapaswi kuingilia.
 
Yeye kazungumzia ku deal na wafanya fujo wakati wa uchaguzi na ndio msingi wa thread hii.
Nimeandika hivi 'hao MaRC na DC wasiingilie kazi za wakurugenzi' huko kudhibiti fujo sijaandika maana hizo sio kazi za wakurugenzi.

Kazi za wakurugenzi wakati wa uchaguzi zinaeleweka hivyo hao maRC na DC hawapaswi kuingilia.
 
Sheria inasema uyu mkuu wa mkoa haruhusiwi ktk vituo vya kupigia kura, afanye tu kiherehere chake aone mahakama ikitengua matokeo dhidi ya ccm, tnamjua ye ni kada wa ccm
23 October 2020
Mbeya, Tanzania

RC Albert Chalamila asema jana niliwaona watu ofisi ya Mkurugenzi lakini nilikuwa nawahesabia masaa akina mama wale kabla ya kushughulikiwa kwa hatua kali ambazo wasingesahau.

Kuhusu kusimamia mchakato wa uchaguzi RC Albert Chalamila amesema uongozi wa mkoa umejipanga kuhakikisha uchaguzi wa 2020 unakuwa wa Haki na Huru.

Amewatoa wasiwasi wananchi wa mkoa wa Mbeya na jijini la Mbeya ipo shwari kabisa katika mitaa, kata, Halmashauri na wapiga kura wajitokeze kwa wingi kutimiza haki yao ya kikatiba amemalizia mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila alipokuwa anaongea wa vyombo vya habari.

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom