23 October 2020
Mbeya, Tanzania
RC Albert Chalamila asema jana niliwaona watu ofisi ya Mkurugenzi lakini nilikuwa nawahesabia masaa akina mama wale kabla ya kushughulikiwa kwa hatua kali ambazo wasingesahau.
Kuhusu kusimamia mchakato wa uchaguzi RC Albert Chalamila amesema uongozi wa mkoa umejipanga kuhakikisha uchaguzi wa 2020 unakuwa wa Haki na Huru.
Amewatoa wasiwasi wananchi wa mkoa wa Mbeya na jijini la Mbeya ipo shwari kabisa katika mitaa, kata, Halmashauri na wapiga kura wajitokeze kwa wingi kutimiza haki yao ya kikatiba amemalizia mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila alipokuwa anaongea wa vyombo vya habari.