RC Chalamila: Mohamed Yusufali anatumia familia ya Rais kuchafua viongozi

RC Chalamila: Mohamed Yusufali anatumia familia ya Rais kuchafua viongozi

Inside10

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
33,615
Reaction score
40,161
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Kama wangekuwa wanasikiliza kero za wananchi tusingefika huku, kila mtu apewe haki yake sio kwa kupendelea tajiri au masikini.

Kwa hili nampa hongera Mheshimiwa rais.
 
Huyu yusufali si huwa anawakilishwa na wakili wake Hajra Mungura ambaye ni.kada wa ccm.

Halafu mange ndio ameibua tuhuma nyingi za huyu yusufali kuwa karibu na familia ya Malkia.

Chalamila nenda kwa kituo huyo ni mwana mtandao usije ukapoteza ugali wako bure
 
Back
Top Bottom