GE2025 RC Chalamila: Kubadili Katiba Miezi mitatu kabla ya Uchaguzi Mkuu, Haiwezekani

GE2025 RC Chalamila: Kubadili Katiba Miezi mitatu kabla ya Uchaguzi Mkuu, Haiwezekani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Binafsi huyu ndo kiongozi kilaza aliyewahi kutokea nchini, na sijui nini kimepelekea kuwa kiongozi huyu jamaa, very empty minded person .
Kwani yeye alianza kusikia lini kuwa watu wanahitaji mabadiliko ya katiba??? Afu watu wanataka uchaguzi wa haki siyo katiba moua just make a reform
 
Back
Top Bottom