GE2025 RC Chalamila: Kubadili Katiba Miezi mitatu kabla ya Uchaguzi Mkuu, Haiwezekani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,498
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema kuwa mchakato wa kupata katiba mpya si jambo jepesi hususan kwa kipindi cha miezi mitatu iliyobakia kuelekea uchaguzi mkuu.

"Si jambo jepesi Asubuhi ukaamka Katiba ikawa imebadilika"

"Miezi mitatu hii ambayo tumeibakisha mkakaa na majopo ya Watu kuanza kuitengeneza hiyo Katiba ambayo tunasema tunataka Katiba mpya. Is Impossible under the sun"

Chalamila ameyasema hayo leo Julai 8, 2025 kwenye kikao maalumu na viongozi wa dini, kilichofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam.

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila amesema kuwa mchakato wa kupata katiba mpya si jambo jepesi hususan kwa kipindi cha miezi mitatu iliyobakia kuelekea uchaguzi mkuu.

Chalamila ameyasema hayo leo Julai 8, 2025 kwenye kikao maalumu na viongozi wa dini, kilichofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam.
Litachukua muda gani?
 
Sahihi, pia katiba ya nchi ikibadilika, kuzijenga institution za katiba mpya inachukua miaka sio chini ya mitano
 
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema kuwa mchakato wa kupata katiba mpya si jambo jepesi hususan kwa kipindi cha miezi mitatu iliyobakia kuelekea uchaguzi mkuu.

"Si jambo jepesi Asubuhi ukaamka Katiba ikawa imebadilika"

"Miezi mitatu hii ambayo tumeibakisha mkakaa na majopo ya Watu kuanza kuitengeneza hiyo Katiba ambayo tunasema tunataka Katiba mpya. Is Impossible under the sun"

Chalamila ameyasema hayo leo Julai 8, 2025 kwenye kikao maalumu na viongozi wa dini, kilichofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam.

Sawa tumesikia upumbavu wako....mjomba !! ...siku huyo bibi mlntwa damu akigeuka kusema reforms ifanyike sijui atagonga tapishi lake ? Nyambafuu
 
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema kuwa mchakato wa kupata katiba mpya si jambo jepesi hususan kwa kipindi cha miezi mitatu iliyobakia kuelekea uchaguzi mkuu.

"Si jambo jepesi Asubuhi ukaamka Katiba ikawa imebadilika"

"Miezi mitatu hii ambayo tumeibakisha mkakaa na majopo ya Watu kuanza kuitengeneza hiyo Katiba ambayo tunasema tunataka Katiba mpya. Is Impossible under the sun"

Chalamila ameyasema hayo leo Julai 8, 2025 kwenye kikao maalumu na viongozi wa dini, kilichofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam.

empty head watu wanataka reforms za uchaguzii wewe unasema katiba
 
PhD za kibongo bongo 😂
PhD za mchongo kaka. Uliona wapi mtu aliyepata PhD kwa kusomewa na wengine akawa na akili? Nowadays tuna watu Wanafanyiwa THESIS, wao kazi yao kwenda kupresent. Akimaliza PhD , hana hata uwezo wa Ku supervise juniors. Ni utopolo.
Ndio maana mimi niligopa kusoma PhD ya Bongo
 
HUtuv
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema kuwa mchakato wa kupata katiba mpya si jambo jepesi hususan kwa kipindi cha miezi mitatu iliyobakia kuelekea uchaguzi mkuu.

"Si jambo jepesi Asubuhi ukaamka Katiba ikawa imebadilika"

"Miezi mitatu hii ambayo tumeibakisha mkakaa na majopo ya Watu kuanza kuitengeneza hiyo Katiba ambayo tunasema tunataka Katiba mpya. Is Impossible under the sun"

Chalamila ameyasema hayo leo Julai 8, 2025 kwenye kikao maalumu na viongozi wa dini, kilichofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam.

Huyu jamaa ni hasara tu kwa taifa hadi kwa wazazi wake ,ni nani anayedai katiba mpya kwa sasa !?Mimi pamoja na chadema tuna taka reforms kwenye sheria za uchaguzi pamoja na tume yake.

Yeye haya ya katiba mpya kayatoa wapi!?
 
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema kuwa mchakato wa kupata katiba mpya si jambo jepesi hususan kwa kipindi cha miezi mitatu iliyobakia kuelekea uchaguzi mkuu.

"Si jambo jepesi Asubuhi ukaamka Katiba ikawa imebadilika"

"Miezi mitatu hii ambayo tumeibakisha mkakaa na majopo ya Watu kuanza kuitengeneza hiyo Katiba ambayo tunasema tunataka Katiba mpya. Is Impossible under the sun"

Chalamila ameyasema hayo leo Julai 8, 2025 kwenye kikao maalumu na viongozi wa dini, kilichofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam.

Tuusogeze mbele ili tukamilishe hilo kwa ufanisi
 
Back
Top Bottom