Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,499
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amezungumza na Global TV na kuelezea hali ya ulinzi na usalama ilivyo jijini Dar es Salaam, amesema "Hatukusema Wananchi wakae ndani"
mwezi mchangaMkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amezungumza na Global TV na kuelezea hali ya ulinzi na usalama ilivyo jijini Dar es Salaam, amesema "Hatukusema Wananchi wakae ndani"
Ama kweli dunia ina mambo
Kauli yake na kauli ya Nchemba ipi iko juu ya nyingine?Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amezungumza na Global TV na kuelezea hali ya ulinzi na usalama ilivyo jijini Dar es Salaam, amesema "Hatukusema Wananchi wakae ndani"
Kamanda Mafwele mlitaka mtufanyaje aisee.. mbona mwatuchanganyaNimebaki mdomo wazi 🫨🫨🫨
Mtayumbisha uchumi na mapato ya Jiji na nchi kwa hizi lockdown.Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amezungumza na Global TV na kuelezea hali ya ulinzi na usalama ilivyo jijini Dar es Salaam, amesema "Hatukusema Wananchi wakae ndani"