RC Chalamila aibukia kwa mtume Mwamposa "Rise and Shine"

wazunguwawili

JF-Expert Member
May 29, 2019
3,984
4,131
Aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Mbeya na baadaye Mwanza, mh Chalamila leo ametinga kwa mwamposa.

Mh Chalamila amewataka watanzania kuliombea taifa. Lakini pia amepata nafasi ya kuombewa na Mwamposa na kumpatia kibali cha ukuu.

Kwa maombi haya tutarajie mbingu kufunguka tena? Kwa sasa mh Chalamila anaendelea na masomo ya udaktari wa filosophia. Tusikate tamaa, tuendeleze kuzipambania ndoto zetu.
 
Mh chalamila amewataka watanzania kuliombea taifa.

Lakini pia amepata nafasi ya kuombewa na Mwamposa na kumpatia kibali cha ukuu.

Kwa maombi haya tutarajie mbingu kufunguka tena?

Kwa sasa mh Chalamila anaendelea na masomo ya udaktari wa filosophia.

Tusikate tamaa, tuendeleze kuzipambania ndoto zetu.
Zee la mabango ya matusi
 
Alikuwa kiongozi mkuu wa mkoa wa Mbeya!
Nchi ina safari ndefu sana.
 
Aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Mbeya na baadaye Mwanza, mh Chalamila leo ametinga kwa mwamposa.

Mh Chalamila amewataka watanzania kuliombea taifa. Lakini pia amepata nafasi ya kuombewa na Mwamposa na kumpatia kibali cha ukuu.

Kwa maombi haya tutarajie mbingu kufunguka tena? Kwa sasa mh Chalamila anaendelea na masomo ya udaktari wa filosophia. Tusikate tamaa, tuendeleze kuzipambania ndoto zetu.
Mwambieni Chalamila ndugu hake kakamatwa huko Iringa kwa wizi wa bilioni mbili na ushee!
 
Aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Mbeya na baadaye Mwanza, mh Chalamila leo ametinga kwa mwamposa.

Mh Chalamila amewataka watanzania kuliombea taifa. Lakini pia amepata nafasi ya kuombewa na Mwamposa na kumpatia kibali cha ukuu.

Kwa maombi haya tutarajie mbingu kufunguka tena? Kwa sasa mh Chalamila anaendelea na masomo ya udaktari wa filosophia. Tusikate tamaa, tuendeleze kuzipambania ndoto zetu.
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom