RC Chalamila aibukia kwa mtume Mwamposa "Rise and Shine"

Aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Mbeya na baadaye Mwanza, mh Chalamila leo ametinga kwa mwamposa.

Mh Chalamila amewataka watanzania kuliombea taifa. Lakini pia amepata nafasi ya kuombewa na Mwamposa na kumpatia kibali cha ukuu.

Kwa maombi haya tutarajie mbingu kufunguka tena? Kwa sasa mh Chalamila anaendelea na masomo ya udaktari wa filosophia. Tusikate tamaa, tuendeleze kuzipambania ndoto zetu.
Tulipokosea ni pale tulipoipa siasa thamani kubwa
 
Aona mzee wa kusifu na kuabudu enzi za mwendazake..kaenda kufungamanishwa na madhabahu ya mwamposa..ni mwendo wa kukanyaga mafuta tu..wapinzani wake jiandaeni kwa anguko lenu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Mbeya na baadaye Mwanza, mh Chalamila leo ametinga kwa mwamposa.

Mh Chalamila amewataka watanzania kuliombea taifa. Lakini pia amepata nafasi ya kuombewa na Mwamposa na kumpatia kibali cha ukuu.

Kwa maombi haya tutarajie mbingu kufunguka tena? Kwa sasa mh Chalamila anaendelea na masomo ya udaktari wa filosophia. Tusikate tamaa, tuendeleze kuzipambania ndoto zetu.
Na baada ya hapo atafungua nae kanisa lake.
Huu uchungaji huu hata mc pilipili kichaa alianza hivi kama utani
 
Aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Mbeya na baadaye Mwanza, mh Chalamila leo ametinga kwa mwamposa.

Mh Chalamila amewataka watanzania kuliombea taifa. Lakini pia amepata nafasi ya kuombewa na Mwamposa na kumpatia kibali cha ukuu.

Kwa maombi haya tutarajie mbingu kufunguka tena? Kwa sasa mh Chalamila anaendelea na masomo ya udaktari wa filosophia. Tusikate tamaa, tuendeleze kuzipambania ndoto zetu.

Rubbish
 
IMG-20220127-WA0049.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili jamaa ndo lilisema limeongea na Magufuli na yupo mzima anawasalimu wananchi wa Mbeya kumbe Magufuli yupo kwenye ventilator pale karibia na makumbusho anapania pumzi
 
Mwambieni Chalamila ndugu hake kakamatwa huko Iringa kwa wizi wa bilioni mbili na ushee!
Iweke hapa hiyo taarifa yote ili tuwatafutie mawakili wa kuwatetea! Mimi binafsi nitawatetea mahakamani najua nitaambulia 200m Kama ujira!
 
Aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Mbeya na baadaye Mwanza, mh Chalamila leo ametinga kwa mwamposa.

Mh Chalamila amewataka watanzania kuliombea taifa. Lakini pia amepata nafasi ya kuombewa na Mwamposa na kumpatia kibali cha ukuu.

Kwa maombi haya tutarajie mbingu kufunguka tena? Kwa sasa mh Chalamila anaendelea na masomo ya udaktari wa filosophia. Tusikate tamaa, tuendeleze kuzipambania ndoto zetu.
Inapendeza kusikia Mwendawazimu na Mchawi wamekutana na Kudanganyana Mubashara kabisa.
 
Back
Top Bottom