rc chacha

In cryptography, RC4 (Rivest Cipher 4, also known as ARC4 or ARCFOUR, meaning Alleged RC4, see below) is a stream cipher. While it is remarkable for its simplicity and speed in software, multiple vulnerabilities have been discovered in RC4, rendering it insecure. It is especially vulnerable when the beginning of the output keystream is not discarded, or when nonrandom or related keys are used. Particularly problematic uses of RC4 have led to very insecure protocols such as WEP.
As of 2015, there is speculation that some state cryptologic agencies may possess the capability to break RC4 when used in the TLS protocol. IETF has published RFC 7465 to prohibit the use of RC4 in TLS; Mozilla and Microsoft have issued similar recommendations.
A number of attempts have been made to strengthen RC4, notably Spritz, RC4A, VMPC, and RC4+.

View More On Wikipedia.org
  1. Sodoku Myebusi

    JamiiForums Tanzania Kwa hili suala la RC Chacha Kanda ya Ziwa tumeitisha kikao cha Dharura siku ya Jumamosi

    Sisi Wayebusi tumesikitishwa sana kusikia jambo hili na tumeshirikiana na Mwenyekiti wa Wanaume wa Kanda ya Ziwa kuitisha kikao siku ya Jumamosi kujadili hili jambo ambalo bwana Chacha amelianzisha. Wadau wengi wamepiga simu wakiwa na maswali kadhaa kuhusiana na Bwana Chacha wanaume kwa...
  2. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania RC Chacha ameonesha Ushamba na Ufala katika hili.

    Huyu RC kabisa anakaa kuongelea suala la kipuuzi kama hili kwenye kusanyiko la watu? Kutongozwa na mwanamke anaona ni big deal na hadi kushirikisha police? Watu wenye akili wanamtizama na kuona ana utoto na ufala tu. Angeweza mblock huyo mwanamke na maisha yakaendelea. Au angemu ignore tu wala...
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania RC Chacha wa Tabora kwanini unavyohabarisha matukio unaunganisha na wapinzani, na kwanini matukio hayo kuonekana ni Tabora kitaifa?

    Kuna mambo ukitazama kiumbari kama sinema zetu. Ukifatilia mkuu wa mkoa watabora na matukio ya Tabora ambayo anawaita wanahabari na matukio yaliyopo kwake. Unaweza kusema Tabora ndio sehemu ya nchi kiutendaji. Embu chunguzeni waliokamatwa na kuelezwa alafu kila tukio anasema wapinzani...
  4. Mkulima na Mfugaji

    JamiiForums Tanzania RC Chacha asitisha mkutano wa injili wenye viashiria vya mapenzi ya jinsia moja Tabora

    Mkuu wa Mkoa wa Tabora Paul Chacha amesitisha mkutano wa injili uliotarajiwa kuanza Machi 19 hadi Machi 22 mwaka huu na Mchungaji Dana Morey kutoka nchini Marekani, baada ya kubaini kuwepo kwa viashiria vinavyodaiwa kuhusishwa na mapenzi ya jinsia moja. Akizungumza na waandishi wa habari...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania RC Chacha: Tukisikia mchezaji wa TRA United ameuza mechi ataondoka

    RC Chacha kama jinamizi la kufungwa na Yanga bado linaendelea. Maana alidai kuna wachezaji walipewa pesa na baadhi ya viongozi wa Yanga ili waachie mechi ================== Mashabiki wa soka mkoani Tabora wametolewa hofu kuhusu hatma ya timu yao pendwa, Tabora United, kufuatia mabadiliko ya...
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 RC- Chacha Agomea Millioni 5 za mtia nia amchana Makavu

    Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha, ameibua mjadala mkali wa kisiasa baada ya kudai kuwa baadhi ya wagombea wa kisiasa wamekuwa wakijaribu kumshawishi kwa fedha ili waweze kufanikisha ushindi katika kura za maoni kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Akizungumza mbele ya viongozi wa serikali...
Back
Top Bottom