RC Arusha azomewa Mount Meru Hospital

Tutaambiwa wananchi walikuwa wanamshangilia kutokana na utendaji wake wa kazi.
 
Bado watu wana machungu kwa Mbunge wao KUKAMATWA NA KUTIWA NDANI na mtuhumiwa ambaye bado anaonekana mtaani akijidai kuwafariji wakazi wale wale mbunge wao alimweka ndani. Lazima aendelee kuzomewa
 
lema pendekeza jina la mkuu wa mkoa arusha haraka!
 
Taratibu jamani......asije "akaifunga" na hiyo hospitali!
 
Atakuja pena akisema ni Lema kachochea
 
Safi sana wanaapolo kwa Zomea Zomea....nonstop mpaka huyo housebay aondolewe AraChuda!
 
Kuongoza Arusha yataka busara na ukomavu! Huyu anfaa kuwa mkuu wa Wilaya kama Kilindi, Misenye, N.K
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…