Ndugu zangu tukio limeishatokea .., ni tukio kama mengine; tutulie linafanyiwa uchunguzi na tusilihusishe tukio hilo na dini yoyote, alisema.
Mulongo alipata wakati mgumu wakati akitoka katika Hospitali ya Mount Meru baada ya kikundi cha wananchi waliokuwepo hapo kuanza kumzomea.
Magesa mulongo ndio nani?
Ni big solution labda ataacha ukilaza wake....sio solution
Ninatia shaka kama kweli ni Mkurya kwa namna anavyo handle issues.Mishipa inayosafirisha aibu toka kwenye uti wa mgongo wake kwenda kwenye Ubongo kutafsiriwa ilishakufa, haonagi aibu Mkurya yule!
Kudos to wana Apolo wa A Town kwa Kuendelea Kuonesha Demonstration kwa Mulongo.
Jana Mmemzomea tena Pale alipoonekana kwenye Viunga Vya Mount Meru Hospital
Quote from Tanzania Daima
Mishipa inayosafirisha aibu toka kwenye uti wa mgongo wake kwenda kwenye Ubongo kutafsiriwa ilishakufa, haonagi aibu Mkurya yule!
Mjita yule siyo Mkurya.Mishipa inayosafirisha aibu toka kwenye uti wa mgongo wake kwenda kwenye Ubongo kutafsiriwa ilishakufa, haonagi aibu Mkurya yule!
Magesa Mulongo ndio nani?
Mishipa inayosafirisha
aibu toka kwenye uti wa mgongo wake kwenda kwenye Ubongo kutafsiriwa
ilishakufa, haonagi aibu Mkurya yule!
Magesa Mulongo ndio nani?