Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 44,652
- 131,792
Kama kawaida yako! Unaendelea tu kuuliza maswali ya kitoto.Kumsimanga ndo nini?
Kama kawaida yako! Unaendelea tu kuuliza maswali ya kitoto.Kumsimanga ndo nini?
Tunachotaka ni mtu mwenye uwezo wa kuongoza hayo ya boyfriend hayatuhusuKwa Tanzania siwezi kushangaa akipewa hiyo Wizara.
Vyeo vya kisiasa hivi, huwezi hata kuelewa mtu ameteuliwa kwa minajili gani.
Mwingine labda boyfriend wa Bi- Mdashi tu na yeye anapewa ulaji — Na huwezi kuhoji.
Huna lolote wewe! Majungu tu yamekujaa. Kuna mtu hapa duniani asiyependa sifa?Ni kilaza fulani tu mpenda sifa na wanawake, he is a feminist, anafahamika subiri wakati ndio wa kuweka kila kitu bayana. Tunasubiri mamlaka ya Uteuzi ijikoroge kwenye hili ndio tuje na chawa na kunguni wa Mtaka.
Or so according to you,Tz kuna poor thinking just because mtaka ameonekana ana point na maza ndalichako hana?
Kweli tuna safari ndefu!
Huna lolote wewe! Majungu tu yamekujaa. Kuna mtu hapa duniani asiyependa sifa?
Halafu ulitaka mwanaume awapende wanaume wenzake siyo! Hoja nyingine ni za kitoto sana. Eti ananunua watu mitandaoni!! Hivi huyo Mtakaana hela sana eeehh!!
Kisa tu Profesa wenu uchwara kapigwa za uso na kada mwenzenu, nyinyi mnalia lia!! Endeleeni tu hivi hivi kuparuana ili tuwajue wanafiki na wazalendo wa kweli wa nchi hii.
Mbona yapo wazi tu,nenda alipotokea Sumiyu utapata picha kamili ya RC huyu.Mabadiliko gani anayotarajiwa kuyaleta?
Mkuu uliwaza sahihi sana.Huyu anayeitwa Anthony Mtaka ni muda sasa nimeanza kumsikia lakini sikumtilia maanani kivile. Hata wakati wa Magufuli nilikuwa namsikia sikia tu kwamba ati ni Mkuu wa Mkoa bora. Akapewa sijui na tuzo!
Binafsi sikuwahi kumfuatilia kwa sababu sikuwahi kuvutika nae. Nilikuwa namsikia sikia tu kwa juu juu sana. Hivi majuzi alivyoteuliwa kuwa RC Dodoma nilimuona anazungumza akitoa hotuba fupi.
Kwanza ni wa kawaida sana na anaonekana ana majigambo ya ujuaji. Hata lugha yake ya mwili inaonesha anajidhania kwamba yeye ni mtaaluma na mjuvi kuliko wengine.
Jana tu hapa kamfokea Waziri wa elimu na kuyapuuza maagizo yake kwa kejeli na dhihaka. Hii kiprotokali sijui imekaaje?
Udhalilishaji wake dhidi ya Waziri umethibitisha yale yote niliyokuwa nayafikiri juu yake — Kwamba ni mjuaji juaji tu.
Na si ajabu anawalipa watu mitandaoni ili wamsifie sifie. Binafsi sioni kama ana ubora wowote au maajabu yoyote.
Kwani amefanya kitu gani hicho mpaka astahili misifa yote hiyo ninayoisikia mitandaoni kutoka kwa wafuasi wake pendwa?
Alipandisha ufaulu mashuleni kuanzia shule ya msingi hadi sekondari. Alifanikisha kushawishi ujenzi wa viwanda ikiwemo kiwanda cha chai n.kHuko Simiyu alifanya kitu gani haswa?
🤔Uneelewa broadness ya poor thinking? Ni akili ya kawaida sana kupima ulazima na kinyume chake kuzungumza vyovyote hio fursa iko ndani yake, wewe ongea ila bwege kashaomba radhi, pumbavu zake yule hawezi kuinajisi jamhuri na akabaki salama, ofisi ya umma ni zaidi ya sumu haichezewi kwa ulimi.
Usipoteze muda kumshauri mtu wa aina hiyo. Aliyemteua ndo atajua amfanye nini. Hajui majukumu yake kama kiongozi wa serikali. Amekuwa kama mbunge ambaye kazi yake ni kuikosoa serikali.Ni kweli ni mtu wa hovyo na ameomba radhi unamshauri nini huyu mtu wa hovyo?
Ni matusi gani amemtukana waziri?Kumbe ubora wake ni kwenye tasnia ya matusi dhidi ya wateule wa Rais!?
We ni mtu pumbaf tu! Unaweza tetea mtu msanii kama huyu! Simiyu kuna nini hadi leo? ufaulu gani umeuona Simiyu? Mwaka huu kuna shule ngapi toka Simiyu ambazo ziko ndani ya 20 bora? Au ameondoka Simiyu na akili za wanafunzi? Pumbaf. kabisa!!!!!Huwezi kumuelewa Mtaka kama umewehuka. Sifa yake ya kwanza ni muungwana na katika kuthibitisha hilo ameandika andiko lenye kuomba radhi kwa yote hayo yaliyotokea akiwa na Waziri.
Pili, juhudi za Mtaka na ufanisi wake zipo Simiyu siyo Dar, Arusha wala kwingineko, kama unataka kumjua ni nani nenda waulize Simiyu. Ndiye mkuu pekee wa mkoa enzi za JPM alipinga watu kuwekwa ndani na wakuu wa wilaya.
Haihitaji kamusi kumjua huyu jamaa.
Fisi maji wee! kwani lazima kila mtu ashinde mtihani? Hao wanaoshinda mitihani wana uelewa wowote au wamekaririshwa majibu kwenye makambi ya taaluma. Polyphagous!waziri ametoa maelekezo ya kipuuzi.
watoto wa mkoa husika wakifeli huyu waziri yeye anakua yuko zake wizarani anakunywa chai.
kushinda mtihani ndiyo ugoro gani huo????Fisi maji wee! kwani lazima kila mtu ashinde mtihani? Hao wanaoshinda mitihani wana uelewa wowote au wamekaririshwa majibu kwenye makambi ya taaluma. Polyphagous!
I am just 14 years old yet, can see your poor thinking inclination to that level!kushinda mtihani ndiyo ugoro gani huo????
how old are you?
eti kushinda mtihani 🤣 🤣 🤣 🤣I am just 14 years old yet, can see your poor thinking inclination to that level!
Akili yako imevunja ungo kwa sasa na inatamani kila dume unaloliona. Angelikuwa msanii kama unavyodhani hii leo asingetoka Simiyu hadi kuwa Mkuu wa mkoa wa Dodoma.We ni mtu pumbaf tu! Unaweza tetea mtu msanii kama huyu! Simiyu kuna nini hadi leo? ufaulu gani umeuona Simiyu? Mwaka huu kuna shule ngapi toka Simiyu ambazo ziko ndani ya 20 bora? Au ameondoka Simiyu na akili za wanafunzi? Pumbaf. kabisa!!!!!