Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 40,973
- 119,469
Yaani unauliza maswali kama uko darasa la pili! Sasa kama humtetei waziri, hii mada yako inahusu nini!!Nimemteteaje waziri?
Nimemtetea kwa lipi? Kuhusu nini?
Kumsimanga huyo RC Mtaka kwa mipasho na vijembe? Kisa tu amempa makavu huyo waziri wako asiyejitambua?