RC Anthony Mtaka ana sifa gani spesheli?

RC Anthony Mtaka ana sifa gani spesheli?

Kuleta mashart yake ya koro dom anazingua sana, watuambie njia walizokuwa wanatuambia awali zimefeli wapi hadi waje na mpya? Kila mtu moyoni mwake kimia kimia anakili njia tulizotumia mwanzo zilituvusha na kutusaidia kiakili..kiafya..kiuchumi n.k

Hii ya sasa nashukuru wananchi wamegoma kabisa kurespond

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amemchana chana yule waziri aliyeandaa somo la historia ya Tanzania ya màgufool lilipigwa chini dk chache baada ya betri kuishiwa charge
Na yeye mtaka ni Mataga tu,
 
Huyu anayeitwa Anthony Mtaka ni muda sasa nimeanza kumsikia lakini sikumtilia maanani kivile.

Hata wakati wa Magufuli nilikuwa namsikia sikia tu kwamba ati ni Mkuu wa Mkoa bora. Akapewa sijui na tuzo!...
Kumchukia au kumpenda ni hiari yako lakini RC Mtaka amechagua kusimama UKWELI.
 
Moshi wamekutana na hasira ya Mungu baada ya kushangilia kifo cha mwendazake.

Corona imechapa familia ya mbowe
 
Amemchana chana yule waziri aliyeandaa somo la historia ya Tanzania ya màgufool lilipigwa chini dk chache baada ya betri kuishiwa charge
Hiyo beteri mlishindwaje kuongeza hata maji ya washawasha ili iamke haraka.
Hamkutenda vyema.Mkaungame kwani Mungu hapendi hivyo.
 
Huwezi kumuelewa Mtaka kama umewehuka. Sifa yake ya kwanza ni muungwana na katika kuthibitisha hilo ameandika andiko lenye kuomba radhi kwa yote hayo yaliyotokea akiwa na Waziri..
Kwa hiyo akiandika kuomba radhi wewe unampa uungwana? Kumbuka, watu wa hovyo ni wepesi wa kuomba radhi.

Hotuba aliyoitoa, alijipanga. Kama hayo aliyosema ndo mpango wake, fahamu unatetea mtu hovyo. Btw, ana elimu gani? Does he remember any law of nature?
 
Ni kweli ni mtu wa hovyo na ameomba radhi unamshauri nini huyu mtu wa hovyo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom