Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,058
Wakiisha hamia ccm huwa wanabadilika hata uwezo wao wa kujenga hoja sijui ccm huwa inawalisha niniMkuu mpya wa mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghirwa amesema kwa sasa yeye anaitumikia serikali na anapokuwa ofisini anakuwa ana deal na mambo ya serikali tu na mtu asij ofisinikwake kuzungumzia masuala ya ACT kwani kama anataka kuzungumzia maswala hayo itakuwa ni kwenye ofisi za chama hicho
Usiache mbachao kwa msala upitao.Usisahau........................kwa msala upitao!Mnaokumbuka hii methali mtanikumbusha