warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,273
- 18,422
Sakata la kupotea kwa mwana hip hop, roma mkatoliki, linazidi ku make headline ambapo hivi karibuni wasanii kutoka bongo movie, wameingia kwenye bifu zito, sababu ikiwa ni roma
Awali wema alianza Ku post insta na kuwakashfu wasanii wa bongo movie kwa kitendo cha kumsapoti mkuu wa mkoa makonda na kuacha kufuatilia issue ya roma, hata hivyo wolper alimjia juu wema na kumwambia achunge kauli zake kwani kila mtu ana haki ya kufanya kile anachopenda kwa wakati wake na suala la roma lisiwafanye washindwe kuendelea na maisha yao kwani hilo jambo limeshatokea na watu wapo kwenye juhudi za kumtafuta.
Muigizaji ray nae hakuwa nyuma kumupia mawe wema na kumwambia bifu lake la makonda asiliamishie kwa wasanii wote... Hata hivyo baadhi ya wasanii bongo movie wamelaani kitendo cha wema kuwakashifu hadharani