RAY vs KANUMBA MPAKA LINI? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

RAY vs KANUMBA MPAKA LINI?

Discussion in 'Entertainment' started by Ruttashobolwa, Mar 13, 2012.

 1. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #1
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 41,940
  Likes Received: 9,804
  Trophy Points: 280
  me ni mdau wa filamu za kibongo lakini na choshwa kusikia chuki na visa vya awa wawili katika tasnia ya filamu, kwani wamekuwa na ugomvi na malumbano yasiyo natija sijui ni wivu wa mafanikio au nini? maana kila mwaka lazima wagombane sijui ni magazeti au wanaunda skendo tusi wasahau! lazima kunakitu kinaendele baini yao! bifu zao iziishi mara RAY Vs AUNT sitaki kusema Ray ni tatizo ila najiuliza kwa nini ni RAy? kwa nawaangalia sababu wao ndio wanasaidia tasnia hii kukua
   
 2. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,056
  Likes Received: 3,416
  Trophy Points: 280
  Mkuu Rutta,

  Una moyo filamu za kiTanzania zina mapungufu mengi sana zaidi ya ugomvi wa Kanumba na Ray.
   
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  Mar 14, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,054
  Likes Received: 3,804
  Trophy Points: 280
  Wamefanya nini tena??
   
 4. kibhopile

  kibhopile JF-Expert Member

  #4
  Mar 14, 2012
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 1,270
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 145
  sio filamu kibongo ni video za kibongo.
   
 5. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #5
  Mar 14, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,986
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  hamnaga beef kati ya kanumba na ray!!!magazeti tu!!!
   
Loading...