ha ha ha ndo mana sitaki mwanangu wala ndugu yangu awe msanii maana maisha yake halisi yanageuka kuwa usanii ptuu hivi jibaba zima kama hili linahangaika nini

sitaki kabisa bina wanapata ubinadamu wa pili tofauti na walozaliwa nao abadan sitaki ntachinja mtu walai.................................USIKU MWEMA KWAKO PIA BINA............mwaaaaaaah!!!!!!!!