Ray na Batuli wakwaruzana mtandaoni kwa madai ya utapeli

Hornet

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
26,303
50,470
Ni vita mpya huko Instagram.. Baada ya ile ya Zari na Wema
Amberose na Kanye
Sasa ni zamu ya Batuli na Ray!

Huyu anasema amedhulumiwa yule anasema hajawahi kudhulumu..

295844586fa6bc596f085a29ac60ff9f.jpg
e20f06e9b0be6f50f1b76714c3bee0a5.jpg
1e1f6efc78a9a8928b273c13911ab862.jpg
 
ni viTa mpya huko instagramuu.. baada ya ile ya Zari na Wema
Amberose na Kanye
sasa ni zamu ya Batuli na Ray
huyu anasema amedhulumiwa yule anasema hajawahi kudhulumu..
295844586fa6bc596f085a29ac60ff9f.jpg
e20f06e9b0be6f50f1b76714c3bee0a5.jpg
1e1f6efc78a9a8928b273c13911ab862.jpg
e67889d7db510467b9fbf25d85a1efde.jpg
55500e4f62cdf8ffaa39bb1fef73d6cb.jpg
ae0b0c9a2d6e75c437b435353833bf17.jpg
 
Ray alichoongea kina mantiki...Kama mkataba upo na umekiukwa Basi Batuli afwate njia sahihi kupata haki yake..
 
Huyo analalamika nini? kama kadhulumiwa si aende tu kwenye sheria? analalamika km mke mwenza!! haijakaa poa
 
Ray alichoongea kina mantiki...Kama mkataba upo na umekiukwa Basi Batuli afwate njia sahihi kupata haki yake..
Law of contract inahusika atuombe ushauri kama huuelewi pa kuanzia ila media ni kiki tuu Kama sio kupandishana na kushushana.
 
Bongo movie kwenu kuchafuana ni diri au mmetemana kimapenzi? Kwani si basata ipo na viongozi wenu wa bongo movie pelekeni uko izo kesi kwenye media pawe pamwisho
 
Mambo ya kesi nayo yanachosha bhana kuanza kuzungushana mahakamani au kwa wanasheria! Ndio maana kina mura huwa wanatia panga tu then wanasepa inakuwa fundisho!
Wakati mwingine ukidhulumiwa inabidi uandike maumivu coz mikiki mikiki ya kesi nayo huwa ni kipaji kuifuatilia!
 
Kilichonishangaza kwenye hili bifu ni ray kuitwa "kibamia" watz hapana kwakweli
 
Kilichonishangaza kwenye hili bifu ni ray kuitwa "kibamia" watz hapana kwakweli

hivi ray mzima kweli,kumbe kanumba ndio alikua anampandisha chati,alivyojikoboa sasa wanashindana na hawara yake kujikoboa,kaitwa na nani kibamia?
 
hivi ray mzima kweli,kumbe kanumba ndio alikua anampandisha chati,alivyojikoboa sasa wanashindana na hawara yake kujikoboa,kaitwa na nani kibamia?
Ha ha ha mashabiki tu wanamuita kibamia, mi sijawahi kumpenda wala sionagi anachokiigiza bora ajikrimu tu hicho ndo anaweza
 
Back
Top Bottom