Ray Kigosi akiwa na mwanae Jayden!

Mkuu mimi sina tatizo na yeye na mwanae ila nimeona tu kama haijakaa vyema mtoto wa kiume mdogo akaanza kuvishwa hereni maana mwana umleavyo ndivyo akuavyo.
 
Yeye kaweka picha tu. Kaandika mapungufu gani? Wewe unayetetea inaelekea na wewe ndo ulivyo hivyo. Poke sana
 
Mkuu mimi sina tatizo na yeye na mwanae ila nimeona tu kama haijakaa vyema mtoto wa kiume mdogo akaanza kuvishwa hereni maana mwana umleavyo ndivyo akuavyo.
Acha kukremu na ujue dunia inabadilika. Akivaa diamond sawa ila akivaa maskini mwenzio ndio shida.
 
wow! adorable lil angel...

Ila sijapenda walivyokapaka bleech, he is too young jamani daah!!

Ila hongereni sana Chuchu na Ray kwa kuleta handsome boy.
 
wow! adorable lil angel...

Ila sijapenda walivyokapaka bleech, he is too young jamani daah!!

Ila hongereni sana Chuchu na Ray kwa kuleta handsome boy.
Kwani chuchu ndio mozaa ake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…