Ray hatimaye apata mke!

HATIMAE THE GREATEST APATA JIKO

Baada ya mianjo ya muda mrefu nimeuanza mwaka wa 2011 kwa kuweka mtoto ndani lakini kwa siri mno.Ujana una muda wake na una mwisho wake lakini kwa sasa nimeamua kuweka mambo yote pembeni na kuamua kutulia kwa mmoja tu Bi Ramla.Huu ndio mwanzo kwa mwaka huu 2011 na kuna mambo mengi nitawashangaza watu si kuweka kitu ndani tuu,Na huu ndio mwanzo wa GREATEST kwa mwaka huu 2011

Mtakuwa mnashangaa kwa mavazi haya imekuwaje tena,Ndio hivyo tena mambo ya kupenda

Huyu ndie mke wangu kwa sasa,Bi Ramla

Katika picha ya pozi

Nikiwa na wife

Tukibadilishana mawazo na wife

Tukielekezana kitu

Natembea na bakola mambo ya pwani hayo
 
Huyu Dogo anafosi tumsomee ITIQUAF na sio lingine.Malaya kama huyu kusilim ni sawa na Ngamia kupita katika Tundu la sindano.
Na tulishamwonya aachane na utani na Dini ataki kusikia.Ijumaa hii nntafanya presentation pale Mtambani nisikie Maustazi wenzangu wanasema nini juu ya hili.kabla atujatua tamko rasmi
Ajaoa this is just MOVIE SCENE in Acting.

Chipukizi upoooo? Haya kamsomee hiyo itikaf yako sijui. Naona ukiisoma wewe atakuwa chizi kabisa!
 
Nilidhani Ray ana tatizo la kuongea "R" ila kuandika anaandika sawasawa kumbe tofauti kabisa.
Tangia mwanzo nilisema kabisa katika safari yangu ya mwaka 2011 nitakuja kiutofauti kabisa katika movie zangu,Na sasa ndio nimeanza safari hiyo ambayo Mashabiki na Wadau wangu watapenda kuona mzigo unaokuja sasa hivi,Picha hizi zinaonyeshwa taswila ya mtu anayeswali kwa imani ya dini ya Uislam,Lakini nia yangu ni kujenga na wala sio kubomoa kama nilivyofanya kwenye Divorce.Na hii ndio safari niliyoanza nayo mwaka huu
Natembea na bakola mambo ya pwani hayo
 
Huyu Dogo anafosi tumsomee ITIQUAF na sio lingine.Malaya kama huyu kusilim ni sawa na Ngamia kupita katika Tundu la sindano.
Na tulishamwonya aachane na utani na Dini ataki kusikia.Ijumaa hii nntafanya presentation pale Mtambani nisikie Maustazi wenzangu wanasema nini juu ya hili.kabla atujatua tamko rasmi
Ajaoa this is just MOVIE SCENE in Acting.

Ebwana we! wacha kufru zako hizo. Unajua hakuna mtu mbaya mpaka mwishi, cha msingi tuombe mwisho mwema tu. Mitusi uliyomporomoshea Ray ni makubwa mno. Na tuone content za movie ndio tuje na matusi, ila hizi scenes pekee hazionyeshe chochote.

Mwisho wa siku muombee Mungu na si kumkashifu kwa kumtukana. Ahsante.

Shkh Yahya.
 
Huyu Dogo anafosi tumsomee ITIQUAF na sio lingine.Malaya kama huyu kusilim ni sawa na Ngamia kupita katika Tundu la sindano.
Na tulishamwonya aachane na utani na Dini ataki kusikia.Ijumaa hii nntafanya presentation pale Mtambani nisikie Maustazi wenzangu wanasema nini juu ya hili.kabla atujatua tamko rasmi
Ajaoa this is just MOVIE SCENE in Acting.

Toka nizaliwe sijawahi kukutana na kumuona pimbi kama huyu jamaa....kabla hajatoka alishawahi kumuazima mtu koti pale mori akauzie sura kuja kutahamaki hamadi! koti likawa limeliwa na panya....palichimbika...
 
Back
Top Bottom