Ray C: Nawachukia wanaume

Ray C: Nawachukia wanaume

Joined
Aug 6, 2014
Posts
7
Reaction score
3
Baada ya kusimama tena kwenye game Rehema Chalamila aka Ray C ambaye aliwahi kutamba na ngoma kibao kama ‘Milele', ‘Nimezama', ‘Uko Wapi' and as soon as possible she will be back again kwenye Bongo Flava.

Ray C alikuwa muadhirika wa madaya ya kulevya na kumpelekea kupotea kabisa kwenye ramani ya muziki kutokana kuvuta mdude. BK Cop alimpiga na these questions:

BK: Bada ya kupigana chini na boyfriend wako
Lord Eyez sasa upo na nani?
RAY C: Kiukweli sina mpango na mwanaume......GET YOUR COPY!!
 
Well, everybody has a story to tell.....
 
awachukie salama, wengine tunawapenda. Aoe mwanamke.
 
Anawachukia wanaume ameanza usagaji? Au bado hajapona vizuri madawa ya kulevya!
 
Sijui Mr No. 1 kasikia hiyo kauli.........

RAY+C+akimishukur+Rais+Kikwete.JPG
 
Baada ya kusimama tena kwenye
game Rehema Chalamila aka Ray
C ambaye aliwahi kutamba na
ngoma kibao kama ‘Milele', ‘Nimezama',
‘Uko Wapi' and as soon as possible
she will be back again kwenye Bongo
Flava. Ray C alikuwa muadhirika wa
madaya ya kulevya na kumpelekea
kupotea kabisa kwenye ramani ya muziki
kutokana kuvuta mdude. BK Cop alimpiga na
these questions:

BK: Bada ya kupigana chini na boyfriend wako
Lord Eyez sasa upo na nani?
RAY C: Kiukweli sina mpango na mwanaume......GET YOUR COPY!!

Yaani uchakachuaji wa heading mnauleta mpaka hapa JF
Labda kama haya mawani yangu yame expire, hebu nionyesheni mahali Ray C kasema anawachukia wanaume....


CC:
The Boss, Kaizer, EMT, BAK, Kiranga, Nyani Ngabu, Asprin Mentor
 
Last edited by a moderator:
Ajichukie mwenyewe, she fu.ck.ed up her life and now she's tryin to find somebody to blame, Kwan huyo lord eyez alichaguliwa na mtu?!
 
Mimi niliangalia interview yake hakusema 'hataki tena wanaume' alichosema ni kwamba "hataki tena wanaume vijana". Alidai vijana ndio waliomuingiza kwenye matumizi ya madawa ya kulevya kwa hiyo kampani ya kijana hataki tena ili asijerudia yale yale. Lakini yuko tayari kujitoa kwa mwanaume ambaye ni mtu mzima watakayeheshimiana. Interview yake iko youtube ukiitaka unasearch na kuangalia.
 
....Mie pia sioni hiyo kauli ya kuchukia Wanaume, sijui kwanini mleta mada kaamua kuchakachua kauli ya huyo mrembo.
 
Yaani uchakachuaji wa heading mnauleta mpaka hapa JF. Labda kama haya mawani yangu yame expire, hebu nionyesheni mahali Ray C kasema anawachukia wanaume....

Mtambuzi sorry hivi Ray C na Lady JayDee ni mtu mmoja au watu tofauti? Uzee huu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom