Tetesi: Ray C akimbizwa Muhimbili

mkonozi

JF-Expert Member
Jan 7, 2014
300
197
Mwanadada Ray C amekimbizwa hospitali ya rufaa ya Muhimbili asubuhii hii akiwa mahututi. Ugonjwa unaomsumbua haujajulikana, amewahishwa hospitalini hapo asubuhi hii na kaka yake Tony pamoja na mama yake baada ya kupigiwa simu wamfuate huko Kinondoni.

Tuendelee kumuombea kheri dada yetu.
 
Siombi mabaya, ila kwa jinsi alipofikia, Na kwa uzoefu akipona! Amrudie Mungu!
 
Back
Top Bottom