• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

“Ray ananifitini kwa sababu alinitongoza nikamkataa“Nora

Money Stunna

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Messages
13,088
Points
2,000
Money Stunna

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2011
13,088 2,000
Muigizaji wa kike aliyefanya vizuri kupitia kundi la Kaole Sanaa Group, Nuru Nassoro aka Nora amedai kuwa amekuwa akifanyiwa fitina na muigizaji mwenzake Vicent Kigosi aka Ray kwa kuwa aliwahi kumtaka kimapenzi akamkataa.

Nora amefunguka kupitia kipindi cha Filamonata cha 100.5 Times Fm na kudai kuwa Ray amekuwa akimbania hata kwenye baadhi ya makampuni ambayo anapeleka kazi zake.

“Mpaka kwenye kampuni ambayo nimepeleka kazi nimeshawahi kusikia wanasema, wakaniahidi sana mpaka nikawakubalia walichokuwa wanataka wao. Lakini yeye (Ray) alitanguliza movies zake, akasema ana movie zake sijui kitu gani..” amelalamika Nora.

Ameeleza kuwa Ray amewahi kumbania kufanya kazi na marehemu Kanumba, na hata Mtitu sababu ikiwa ile ile kumkataa kimapenzi.

“Alishawahi..kitu ambacho kwangu kimeshawahi, sasa mimi sijui yeye ni alivyo au kwangu..ila mimi alinibania kwa sababu nilikuwa simtaki, akaniharibia kwa Mtitu. Kanumba kipindi kile alikuwa anamsikiliza sana Ray, akamwambia asifanye kazi na mimi. Hata Kanumba alikuwa ameelewana na mimi Ray akamwambia ‘achana naye’.” Nora ameiambia Filamonata.

Amedai kuwa wanaume wengi katika tasnia ya filamu wanamekuwa wanawanyanyasa wanawake kwa kuwata kimapenzi, na kwamba inakuwa ni mambo ya ndani ambayo sio rahisi kufahamika.

“Ikitokea hivyo inakuwa ni mambo ya ndani sana kiasi kwamba hata mwenzako anakwambia kwamba utaona kama utaendelea kuwa flani.” Nora amefunguka.

Nora amedai kuwa ana kazi nyingi lakini ameshindwa kuziingiza sokoni kwa sababu ya kubaniwa.

Hata hivyo Nuru Nassoro aka Nora amesema ameshasamehe na anaendelea na kazi zake.
Times Fm
 
Heaven on Earth

Heaven on Earth

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2013
Messages
37,160
Points
2,000
Heaven on Earth

Heaven on Earth

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2013
37,160 2,000
sa si ajieleze vizuri tumuelewe...ye mwenyewe kama hajui si tutajuaje sasa!!!!!!
 
warumi

warumi

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2013
Messages
14,863
Points
2,000
warumi

warumi

JF-Expert Member
Joined May 6, 2013
14,863 2,000
Tuliipata mbona mda hyo??
 
white girl

white girl

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2013
Messages
1,372
Points
0
white girl

white girl

JF-Expert Member
Joined Dec 5, 2013
1,372 0
Tumeshachoka kusikia unamuongelea Ray,
Huyu ana matatizo nae unajua ukiona mwanamke anaolewa mara nyingi nyingi na kuachika ujue ana matatizo makubwaa,a solve kwanza ya ndan mwake
 
HOPECOMFORT

HOPECOMFORT

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2012
Messages
2,981
Points
2,000
HOPECOMFORT

HOPECOMFORT

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2012
2,981 2,000
Hapa hakuna cha Ray,Kanumba wala nani. Huyu anataka kurudi kwa style hii. Basi wananiboaga wanao taka umaarufu kwa style yake!!!! We tulisha kufaahamu kitambo kwamba unaweza sanaa ya uigizaji.... Rudi na movie kali bana acha kurudi na majungu, Utaishia kujibomoa tu.
 
Machozi ya Simba

Machozi ya Simba

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Messages
3,221
Points
2,000
Machozi ya Simba

Machozi ya Simba

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2012
3,221 2,000
achia tundu dada
 
Justin Dimee

Justin Dimee

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2012
Messages
1,146
Points
1,225
Justin Dimee

Justin Dimee

JF-Expert Member
Joined Apr 17, 2012
1,146 1,225
Bongoo moviee bongoo lalaa watajuuaa wenyewee ukoo na wee noraa mpakaa umrii huo hunaa mumee na ukipigwaa saundii una chomooa tajiju ukafee na kikojoleoo chakoo tuu mmmh ataa aibuu huonii kaah jobu kwelii kwelii?
 

Forum statistics

Threads 1,402,900
Members 531,005
Posts 34,408,950
Top