Raw footage of Kano mosque bombing

Raw footage of Kano mosque bombing

Status
Not open for further replies.
Ukweli ukidhiri uongo hujitenga

Mlikuwa masema Boko Haram Waisilamu na hayo ndiyo mafundisho ya Kiislaam, leo kulikoni?
Boko haram ni waisilamu, Tatizo la uislamu was kadiri ni kutoweza kushutumu waisilamu wenzao hata kama wanajua, wanachofanya siyo halali, unfortunately, thestance is universal, ni misimamo unaowahusu waisilamu wa Sehemu zote
 
Boko Haram si Waislaam pekee.

Usichanganye Waislaam na Uislaam. kumbuka hilo. Kuna Waislam wezi, majambazi, wevi, Jee, wanafundishwa na Uislaam kufanya hivyo?
 
Boko Haram si Waislaam pekee.

Usichanganye Waislaam na Uislaam. kumbuka hilo. Kuna Waislam wezi, majambazi, wevi, Jee, wanafundishwa na Uislaam kufanya hivyo?
ukweli unabaki hivyo hivyo, zaidi ya hapo ni mashindano ya Maneno unayoleta na too much semantics, as a religion, uislamu unatatizo ya traditional interpretation, against modern society tunayoishi. Watu wangetusaidia ni moderate Moslems, ambao wote hukaa kimya. How can you justify, mtu kumkata binadamu mwenziye Shingo, au kupasua mabomu misikitini au makanisani, kwenye subway etc. ukweli there is a problem Dunia nzima na ni tatizo kubwa, hoping for self destruction in near future
 
Ukweli ukidhiri uongo hujitenga

Mlikuwa masema Boko Haram Waislaam na hayo ndiyo mafundisho ya Kiislaam, leo kulikoni?

Ukweli kwenu unamaana tofauti sana

Hata ISIS wanawauwa Waislam wenzao kisa tu wako dhehebu tofauti na lao

Nyie watu ni wa ajabu sana .....!!
 
Ukweli kwenu unamaana tofauti sana

Hata ISIS wanawauwa Waislam wenzao kisa tu wako dhehebu tofauti na lao

Nyie watu ni wa ajabu sana .....!!

Mimi naamini kuwa ISIS, Boko Harm, Al Qaida ni vyombo vilivyotengenezwa na makafiri, kwa ushahidi.

Divide and rule.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom