rav4's for rent

rav4's for rent

next

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2007
Posts
604
Reaction score
185
habari wana Jf
nina rav4 tatu zilizo katika hali nzuri sana nazikodisha.
rate kwa siku ni tzs 50,000 ikiwa hapa dar na 100,000 ikisafiri
kwa flat rate ni tzs 50,000 kwa km 3500, kila km itakayozidi charge ni tzs 500
gari zote zina drivers
kwa maelezo zaid waweza nipigia
0765376378
asanteni.
 
nikikutafutia kazi utanipa sh ngapi hapo .ila 50 hupati fanya 40
magari ni mengi kwa sasa mtaani
 
kwa bei hiyo huwa nawapa watu wa tour companies. na wao wanawajibika kwa services na driver
 
habari wana Jf
nina rav4 tatu zilizo katika hali nzuri sana nazikodisha.
rate kwa siku ni tzs 50,000 ikiwa hapa dar na 100,000 ikisafiri
kwa flat rate ni tzs 50,000 kwa km 3500, kila km itakayozidi charge ni tzs 500
gari zote zina drivers
kwa maelezo zaid waweza nipigia
0765376378
asanteni.

Specify ni Model gani kaka, wakodishani wengi ni wa show off zaidi. Hii itakusaidia kupata wateja wengi zaidi.
 
kwa bei hiyo huwa nawapa watu wa tour companies. na wao wanawajibika kwa services na driver
mimi hiyo 40au 45 ila service kwako mkuu . dereva haitajiki
 
Specify ni Model gani kaka, wakodishani wengi ni wa show off zaidi. Hii itakusaidia kupata wateja wengi zaidi.

hizi ni old model, wengi wanaziita kili time
 
mimi hiyo 40au 45 ila service kwako mkuu . dereva haitajiki

mkuu nimepoteza gari moja had sasa, jamaa kakod kisha akaniambia gari imeibiwa akiwa nzega. siwez kujua mazingira au kama ni kweli gari iliibiwa. pia kutoa gari bila driver hujui nani anaendesha na kama he/she is qualified to drive as per tanzania laws, na pia utunzaji wa gari unakua zero kbs, najaribu kujilinda kwa kutoa gari na drivers
 
hapa hawaitaji dereva ni kampuni pia gari inakodishwa kwa usalama kabisa hakuna uhuni kama huo .mikataba kila kitu mkuu sio uswahili
 
okay, call or text me ur number
 
Back
Top Bottom