RAV4 v/s landrover discovery 200tdi/300tdi

RAV4 v/s landrover discovery 200tdi/300tdi

RealTz77

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2009
Posts
738
Reaction score
43
Naomba wanajamii kwa wenye uelewa wa magari, kati ya Rav4 ya 1997-1998 na landrover tdi (200/300) ipi yaweza kuwa choice nzuri, moslty safari za mjini (twon routes)na mara chache sana kwa mwaka kusafiri mikoani ( twice a year may be), specs ni kuwa zote ni Manual, hizo tdi ni manual pia but diesel. Ningeomba uchaguzi uwe katika fuel efficiency/consumption/running cost in general, engine efficiency, umadhubuti, na etc kwa wataalamu wangu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom