Rav 4 old model namba za mwishoni inahitajika

Huwezi kupata maana wadau wameshakuona haupo Serious! Badili ID au fungua UZI mpya utangaze tena in details ni nini hasa unahitaji
Mkuu nipo serious, niliongezea videzo ninavyotaka.Kama ukifatilia uzi,utaona, ila bei za jamaa juu, zaidi ya kiwango changu, halafu wengi ni namba A wakati mi nataka B/C
 
ipo Namba C
BEI 10m negotiable
colour RED
good condition
 
Mkuu nipo serious, niliongezea videzo ninavyotaka.Kama ukifatilia uzi,utaona, ila bei za jamaa juu, zaidi ya kiwango changu, halafu wengi ni namba A wakati mi nataka B/C
ukiona hivyo fahamu bei yako na kile unachokitaka haviendani, yaani unataka kitu cha gharama zaidi wakati pesa yako ndogo
 
Asante mkuu
Ukilazimisha hilo utauziwa kitu kibovu kikuumize. Pata kile kinachoendana na thamani ya Pesa yako au kajipange tena uweze kufikia bei ya wengi na hapo nina uhakika utapata bidhaa nzuri
 
Ngoja nijipange tena mkuu
 
Back
Top Bottom