Funguka mkuuUna bei gani
Wakuu mbona kimya
Matangazo yanalipiwa mkuu TRA wapo makini kukusanya ndo maana raia hawaji...Wakuu mbona kimya
Tangu lini mkuu. Mi sina habari, ila poa kama ni hivyoMatangazo yanalipiwa mkuu TRA wapo makini kukusanya ndo maana raia hawaji...
Kama upo Arusha, njoo uione kwa macho yako na unipe ofa mwenyewe, sitaki kukuuzia kitu kwa picha. Njoo cheki ikikupendeza tuongee biashara....Wakuu,
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu.
Bei ya kawaida sio kali, mwenye nayo afunguke kabisa
Nawasilisha
Sipo Arusha, ila naweza kufika, bei yako kwanza na details zakeKama upo Arusha, njoo uione kwa macho yako na unipe ofa mwenyewe, sitaki kukuuzia kitu kwa picha. Njoo cheki ikikupendeza tuongee biashara....
Kiasi gani, rangi gani, vp kmIpo nipo dar namba b kali ilikua inatumiwa na mshua mwenyewe
Ndo rangi gani, namba ganiRav4 l rangi ni nyeupe mixer shaba iko sawa million 8 nampa fasta
Rangi nyeupe imechenganyika na silverNdo rangi gani, namba gani
Yangu NyeusiWakuu,
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu.
Bei ya kawaida sio kali, mwenye nayo afunguke kabisa
Nawasilisha
Huwezi kupata maana wadau wameshakuona haupo Serious! Badili ID au fungua UZI mpya utangaze tena in details ni nini hasa unahitajiBado sijapata wakuu