Ok mkuu nashukuru kwa mchango wako nitafanyia kazi.Humu jukwaani hatuna mafundi wa magari jamani!?uzi masaa matano hakuna msaada why!mkuu tatizo ni gear box,solution ni kununua nyengine kuitengeneza inafaa ila haina guarantee anytime yaweza kubuma.
Ok,mkuu gari ni 2wd,gari yenyewe ni mpya kwa maana nimeinunu muda si mrefu kutoka nje.Rpm kwenye silencer iko safi ni about 1,000.Nashukuru kwa ushauri wako nnitaufanyia kazi.Mkuu huo ugonjwa kwenye hizo rav 4 unazingua sana.mafundi huwa tunauita KIDUKU .kama ni kiduku hapo kazi na hiyo gari ni 4wd or 2wd?? .
Na viduku vya aina nyingi je rpm gari ikiwa sailensa huwa inakuwa kwenye ngapi??
maana kuna kiduku cha silensa.
Hapo mtafute fundi aikague gari yako ili kujua tatizo la ugonjwa ni wapi ndani ya gearbox au nje ya gearbox.lkn kama ingekuwa ni rav 4 kill time hapo ishu huwa inakuwa control box.ni tatizo la kidunia ambalo hata toyota wao wanalifaham kama unakuwa mnunuaji wa kwanza toka kiwandani unatengenezewa buree kbs
Pole mkuu,lakini wanashauri ukiwasha gari uisubilie dakika kadhaa kabla ya kuendesha ili walau engine temperature ifikiwe.Hata kama utataua tatizo hilo bado wataalam wanashauri ukiwasha gari usubili muda kidogo kabla ya kuanza kuendesha.Akipatikana fundi nami nitamuhitaji maana gari yangu nami hivyo hivyo na nikiwasha lazima niisubiri dakika kadhaa ndio nianze kuondoka la sivyo inajizima .. Sijui ndio mambo ya silensa hayo .. Mafundi jitokezeni mtoe msaada
Mara nyingi ni
Habari wadau,naomba kuelezwa kuna tatizo katika gari Rav 4 old model automatic.Kama uko unaendesha kisha ukibadilisha gear kutoka D kwenda Reverse au R kwenda D kuna mlio kama kishindo unasikika wakati unabadili gear.Naomba kusaidiwa tatizo linaweza kuwa nini na wapi naweza pata msaada kwa Dar.Na kuna muda mwingine kama sijakosea ukiwa unaendesha nadhani speed ikiongezeka unaweza usikia,namanisha kama ni manual inatokea wakati unabadili gear.
Karibuni kwa msaada tafadhari.
Mpya as in brand new?, au mtumba hauna scratch ndio unauita mpya?Ok,mkuu gari ni 2wd,gari yenyewe ni mpya kwa maana nimeinunu muda si mrefu kutoka nje.Rpm kwenye silencer iko safi ni about 1,000.Nashukuru kwa ushauri wako nnitaufanyia kazi.
mkuu mbona clutch zipo kibao na kila siku gearbox zinaubguza na mafundi wanabadilisha?Badili gearbox, ndo ugonjwa utaisha. Hiyo huwa ni gearbox inapokuwa imechoka ndo utasikia mlio wakati wa "engaging" na hata wakati inatembea utasikia mlio usio wa kawaida. Huwa hapo tunabadili gearbox maana hizo huwezi change clutch plate kama za manual.