Nipeni Suzuki Escudo au Rav 4 old model

Prof Kibogoyo

Senior Member
May 31, 2016
112
164
Habari zenu wanajamii. Mwenye gari Suzuki Escudo old model au RV4 old model nahitaji. OFA yangu milion 5 itaongezeka kutegemea na ubora wa gari.

Wale maboss wa namba E mtupeni hizo namba D na C sisi maskini kwenye nchi ya tozo tumalizie.
 
Back
Top Bottom