Rav 4 6M

Rav 4 6M

Jamani na jabulani anahuskaje tena kwenye hili gari? yaani watu 4 wanauza gari moja, Duh

52,384 km
 
hawa wanatumix!watu wa4 wanauza gari 1 kwa mil.6!mmh naanza kutia shaka
 
hii itakuwa mbovu au inasumbua.
Rav 4 6mil?Acheni kushusha bei ya rav4 jamani. Navyojua mm si chini ya 9 to 13 mil hata kama ina three doors. Otherwise utuambia kwann unauza na kama gari hii ni ya alali?
 
Back
Top Bottom