Ratiba yangu ya weekend

Karucee

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
18,196
Reaction score
34,502
Ee bwana hapa nilipo naroweka ukwaju. Hii ni kwa ajili ya kutengeza cocktail ya Konyagi kesho.

Nikimaliza bwana kabla ya kulala nitapump maziwa ya baby ili kesho nikiwa katika harakati za substance abuse niharibikiwe mwenyewe. Hata asubuhi nitapump tena. Lengo ni baby apate maziwa ya kutosha for the next three days mpaka Mum amalize detox.
Haya bwana saa nane mchana nitaenda kununua gomba aka mirungi aka veve. Hapo nitachagua Giza ama Alele ama Kangeta. Itategemea na stock. Huko huko nitachukua Cocacola bardiiiii, Big G original pakti kadhaa na karanga.

Haya bwana nikurudi home nioge nikae fresh nivae tshirt na jeans. Nitandike jamvi langu na gazeti la kuchambulia gomba then nikae kitako. Hapo kazi ni moja tu. Moving ze mouth up and down. Mziki unahusika sana.

Haya bwana huu ni mwaliko rasmi kwa mashabiki wenzangu na wanna be miraa fans.

angalizo.
Hamna kupandiana please.

Haya see you tomorrow at 6 p.m
 
staki kukujibu, maana hutanijibu utakuwa ushapotea...kesho ndo ntakuja hapa.
 
Last edited by a moderator:
Hehehehe Karucee PIC PK... working day and night for the next 3 days eeh!!!! Wala hakuna haja ya kuvaa jeans piga tshirt yako ya mpaka magotini without UW tena kwa raha zako. Watoto wa MUJINI wanasema raha jipe mweyewe!

By the way who'll be taking care of that beautiful BB for the next 3 days? Let's know ukishafufuka kwamba you're still alive and kicking. :behindsofa:


 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…