Ratiba ya msiba wa William Lukuvi. Mazishi kuongozwa na Rais Samia

Ratiba ya msiba wa William Lukuvi. Mazishi kuongozwa na Rais Samia

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
36,348
Reaction score
23,757
Ndugu zangu Watanzania,

Marehemu William Lukuvi Anatarajiwa Kuagwa Kishujaa katika Mikoa Mitatu . Ambapo Mwanasiasa Huyo Nguli ,Mkongwe ,maarufu na Mashuhuri hapa Nchini.

Anatarajiwa Kuagwa katika Mikoa Ya Dodoma katika Viwanja Vya Bunge ,Kisha Dar es salaam katika Ukumbi wa Karimjee Na Kisha Mkoani Iringa katika Ardhi ya Shujaa Mkwawa Kiboko ya Wajerumani katika Kijiji chake cha Idodi atakako pumzishwa katika Nyumba yake ya Milele.

Soma pia TANZIA - Waziri William Lukuvi (na Mbunge wa Isimani) afariki Dunia

Lakini Kubwa kuliko yote ni Muhimu zaidi kwa Taifa ni Kuwa Mazishi Hayo yataongozwa Na Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika,jasiri muongoza njia,nuru ya wanyonge na nyota ya matumaini.

Ambapo Ardhi ya Mkwawa Itapata Bahati ya kipekee na Heshima kubwa ya Uwepo wa Shujaa wetu Daktari Mama Samia Ambaye ndiye Mfariji wa Taifa letu na ambaye wakati wote amekuwa nasi watanzania na kutuvusha katika milima na mabonde tuliyopitia kama Taifa.

Taifa lina Imani na Rais wetu na mikononi Mwake hatuna wasiwasi wala hofu . Tuna imani naye na tunamuamini sana kwa lolote lile litakalojitokeza mbele yetu. Ameonyesha uwezo Mkubwa wa kiuongozi na umahiri mkubwa sana katika kuongoza Taifa letu. Ameonyesha ushupavu na umadhubuti mkubwa katika kutatua changamoto mbalimbali katika Taifa.

Kwa hakika ni Bahati kubwa sana kuwa na Rais Samia kitini.

1774524154156.png

1774524215696.png

1774524263065.png

1774524310145.png

1774524357498.png

1774524410020.png

1774524448743.png
 
aise! namkumbuka yule diwani wa tongamalenga ambaye alishafariki na kifo cha hovyokweli
 
Shda ya jini akishamaliza nje lazma ndani atataka damu.oct 29 itawamaliza polepole.mungu hadhihakiwi.mtaisha wote
 
Back
Top Bottom