Xmas ya mwaka huu imeka vyema Arusha City...!
Viva CDM..!
Wana Arusha tunawatakia kila kheri hiyo cku ya Kesho....!
Najua mtatuhakikishia usalama wenu na mali zenu... Hatuna hofu khs hilo., tunawaminia.
Bna aaagahah High Court aksanteni sana, jana mlitupa watanzania raha yetu ya haki kutendekaa...!