nyie ndio maana mnapuuzwa maana hamtumii akili mambo yenu mmekazania kusema serikali ilipata hasara kwani nchi nzima iliacha kufanya biashara au baadhi ya maeneo na haikuwa kwa ukubwa huo? kama serikali ilipata hasara inakuuma nini ikiwa hukusimama popote kuwahimiza watu waende kufanya biashara? yani mkifeli maujinga yenu mnakimbilia kutafuta huruma sasa kama serikali imepata hasara wewe sema imepata hasara ya shilingi ngapi? wenzenu wanawapuuza wanawaona hamna akili yaani waache kuwahudumia watanzania waje wakwambie wewe hasara kiasi gani sijui nini: itokee kwa mfano wamekwambia ndio utapata nn? serikali ipo kazini hakuna mjinga ataisumbua ndio maana mnafeli kila kitu. kaeni chini mjitafakari toka mmeanza maujinga yenu mmefanikiwa kitu gani? juzi eu wametoa bilioni 400 nyie bado mmekazania hasara, nchi inaendelea vizuri na uchumi unapaa.Ya sabasaba yamepita bila watu wengi kuandamana kutokana na nguvu kubwa ya ulinzi iliyotumika kudhibiti maandamano
Siku ya 7/7 ilitawaliwa na ukimya wa kutisha
Barabara zilikuwa tupu
Biashara asilimia 99 zilikuwa zimefungwa
Watanganyika kwa asilimia 90 hawakutoka majumbani, kitu ambacho si kawaida kwa siku kama hiyo
Serikali pengine itaona aibu kutoa tathmini ya hasara iliyopata kwa hiyo siku moja tuu
Kuanzia maenesho ya miaka 50 ya 7/7 kudoda na kudorora vibaya sana, gharama kubwa iliyomika kuvileta barabarani vyombo vya ulinzi na usalama, posho, mafuta, vifaa, silaha, nknk..
Biashara zote ambazo zilifungwa serikali pia ilikosa mapato
Ukimya ule wa jana haukuwa utulivu wa amani bali ulikuwa utulivu uliojaa fukuto la chini
Hilo fukuto la chini kwa chini linaendelea kufukuta chini kwa chini na hili na hili ndio linatengeneza ratiba endelevu ya maandamano kwa kila tukio kubwa la kitaifa kwa siku zijazo
1. Maadhimisho ya 8/8
2. Ufunguzi wa AFCON
3. Maadhimisho ya kumbukumbu ya kifo cha Baba wa taifa 14. Oct
4. Maadhimisho ya kumbukumbu ya mauaji ya October 29
5. Maadhimisho ya sikukuu za mwisho wa mwaka X-mas na Mwaka mpya!
Kuna madai ya wananchi wa Tanganyika.. Hayafanyiwi kazi yanaendelea kupuuzwa.. Yakiendelea kupuuzwa tena na tena hizi ratiba za maandamano hazitakoma
Hamna kazi za kufanya.Maadhimisho ya mwaka mmoja ya matukio na mauaji ya MO29 (Oktoba 29) yanatarajiwa kufanyika mnamo Oktoba 29, 2026 nchini Tanzania.
Harakati na maandalizi haya yanatokana na kumbukumbu ya machafuko, maandamano makubwa, na vifo vilivyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025.
Raia na wanaharakati mbalimbali, ikiwemo makundi ya vijana (GenZ) na vyama vya siasa, wamekuwa wakihamasishana kutumia siku hii kama alama ya kuwakumbuka na kuwaenzi wahanga waliopoteza maisha au kujeruhiwa katika matukio hayo.
wana impact gani? wamezuia nn kufanyika nchi hii? labda mmefanikiwa matusi.Huyo huyo Maria unayemsema ndiyo kutwa kumuwinda ,hilohilo Bunge la Maria na Mushabaha wote mlijaribu kuwateka mkashindwa ,sasa kama hawana impact mnawawinda kuwateka wa nini?
wanalinda usalama wa nchi ndio kazi yao ya kila siku.
nyie ndio maana mnapuuzwa maana hamtumii akili mambo yenu mmekazania kusema serikali ilipata hasara kwani nchi nzima iliacha kufanya biashara au baadhi ya maeneo na haikuwa kwa ukubwa huo? kama serikali ilipata hasara inakuuma nini ikiwa hukusimama popote kuwahimiza watu waende kufanya biashara? yani mkifeli maujinga yenu mnakimbilia kutafuta huruma sasa kama serikali imepata hasara wewe sema imepata hasara ya shilingi ngapi? wenzenu wanawapuuza wanawaona hamna akili yaani waache kuwahudumia watanzania waje wakwambie wewe hasara kiasi gani sijui nini: itokee kwa mfano wamekwambia ndio utapata nn? serikali ipo kazini hakuna mjinga ataisumbua ndio maana mnafeli kila kitu. kaeni chini mjitafakari toka mmeanza maujinga yenu mmefanikiwa kitu gani? juzi eu wametoa bilioni 400 nyie bado mmekazania hasara, nchi inaendelea vizuri na uchumi unapaa.
na wajinga kama wewe ndio mnajitokeza hadharani.Hii nchi wajinga kama wewe hawawezi kuisha. Alafu kuna watu wanakuita mama huko kwenu
Sasa kwanini wakuu wa nchi wanawawinda wawaue? Kama hawana impact si waache wafanye harakati zao na hoa wahuni waendelea na mishe zao.wana impact gani? wamezuia nn kufanyika nchi hii? labda mmefanikiwa matusi.